New Miono high school

New Miono high school

Shule haina website bado wakuu ila tuwe na subira kufikia j tatu tutajuzana kuhusu joining na mambo ya uniform
 
Jana nimeenda miono high school wandugu wote tuliochaguliwa huko aisee n bonge la shule sana sana wakuuu acha niwatajie facilities nlizozikuta kule
1.3 laboratories full equiped
2.dining hall which has a capacity of accomodating 900 students
3.conference room which has da same capacity
4.kila darasa liko full feni za kutosha n full tiles
5.laundry room n also bathrooms full vigae bomba za mvua tuu
6.security guards wenye silaha
7.library which will be open all days
8.quater za walimu nyumba ziko full equiped
9.uwanja wa mpira wenye jukwaa la watazamaji viwanja vyote vipo ni wewe tuu
10. Njia zote za kutembelea zimepigwa rough hakuna kukanyaga chini juu batii hakuna kupigwa jua
11. School hospital
na vingine vingi najua wengi mtakuwa hampajui ukipanda gari kutoka dar es salaam ukivuka wami tuu kuna kituo kinaitwa mandela unashuka unaweza chukua bodaboda unamwambie akupeleke miono high school au (camp) au mwambie shule mpya ile ya wafadhili ( wabelgiji) kwa mujibu wa contractor alienitembeza shule inagharama ya billioni tano jaman tutaftane kwa mengi zaid 0718505467 Ally mohamed (CBG) msiogope shule ya ukweli sana kama upo dar inafanana kabisa na shaaban robert au alpha

Mkuu ni Miono high school au Miono Hotel.
 
Miono high school wazee mkifika mtanambia kama nimedanganya
 
Back
Top Bottom