naombeni kujua wana jf hivi mkataba wa mliman city ni miaka mingapi?
50 yrs mkuu
hebu waulize hao turnstars kuwa kama wanataka ardhi ya ziada kuna chuo kule morogoro , sua, wana ardhi ambayo hawajui waifanyie niniapollo wenyewe wafanyabiashara japokuwa wanauza health service...
Na bora wapewe hao hao mliman city maana wakija apollo watajenga health city kubwa kama iliyopo hyderabad na udsm kujikuta haina eneo..
Duniani hakunaga mfanyabiashara mpumbavu yeyote atakaekuja lazima aangalie faida kwanza...
Nahisi wataiuza hadi udsm, kama walivyojiuzia nyumba oysterbay..
Chezea magamba wewe..