Mpitagwa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 2,339
- 1,123
Ndoo tujue nchi hii ina laana yaani kama wasomi tena wa chuo kikuu mbaya zaidi chuoni kwao wanapigwa bao. Je, wananchi wa Dodoma na Songea na Singida nani atawatetea wanatakapopigwa bao rasmi kwenye Uranium? Tatizo ni kuwa hatuna viongozi. FULL STOP