Ingawa siungi mkono baadhi ya miradi ya NSSF.Hii tovuti yao sio tu kwamba inavutia bali imejaribu na imejitahidi kufanya acess ya informatiion kuwa rahisi. Kwa hili ni mfano wa kuigwa. na binafsi nawapongeza. content zake ni powa.
Ningependa kuona majina ya maboss wa mikoa na sio number za regional office pekee.
Panapohitaji pongezi tunapongeza na panapohitaji ukosoaji tunakosoa.
NB.
Unakosea kutaka kulinganisha NSSF na BOT au na CRDB . Ni vyombo vyenye malengo tofauti, Unless una agenda nyingine au unataka kuuongelea sura ya website pekee kitu ambacho ni wrong. au malizia kwa kusema wafananishe tovuti ya NSSF na tovuti ya ikulu au waizara ya fedha pia.
Information system yeyote inatakiwa isupport mission na vission ya Ogrganisation. Uzuri wa tovuti yatasisi sio muonekan wake bali ni contet yake na nufaa yake kwa wadau. Sifa nilizotoa kule juu sio za muonekanao tu wa tovuti bali na content ambayo ni muhimu zaidi.