new NSSF website

new NSSF website

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Unlike BOT, TPA,CRDB,TRA,PSPF,ZSSF,IKULU,BRELA and PPF to name a few

New NSSF is user friendly na inaonyesha management yao na the sort of transparency kama hizi ndizo ambazo tunataka. If only idara zingine zingeonyesha management zao

http://nssf.or.tz/

Hongereni sana
 
Kwa hiyo uki login kwenye hiyo account utapata status ya michango yako uliyochangia huko nssf? Au ni masuala mengine mengine tu.
 
there is always a room open for improvements
 
Good and detailed website... And user-friendly indeed..
 
sasa fananisha hiyo na ya PPF au BOT au CRDB
 
Ingawa siungi mkono baadhi ya miradi ya NSSF.Hii tovuti yao sio tu kwamba inavutia bali imejaribu na imejitahidi kufanya acess ya informatiion kuwa rahisi. Kwa hili ni mfano wa kuigwa. na binafsi nawapongeza. content zake ni powa.

Ningependa kuona majina ya maboss wa mikoa na sio number za regional office pekee.

Panapohitaji pongezi tunapongeza na panapohitaji ukosoaji tunakosoa.

NB.
Unakosea kutaka kulinganisha NSSF na BOT au na CRDB . Ni vyombo vyenye malengo tofauti, Unless una agenda nyingine au unataka kuuongelea sura ya website pekee kitu ambacho ni wrong. au malizia kwa kusema wafananishe tovuti ya NSSF na tovuti ya ikulu au waizara ya fedha pia.

Information system yeyote inatakiwa isupport mission na vission ya Ogrganisation. Uzuri wa tovuti yatasisi sio muonekan wake bali ni contet yake na nufaa yake kwa wadau. Sifa nilizotoa kule juu sio za muonekanao tu wa tovuti bali na content ambayo ni muhimu zaidi.
 
Tatizo umeambiwa kuwa hizo organisations zingine kwa kusudi websites zao sio user friendly na mbaya zaidi hawataki kuonyesha management zao

kwa nini wanaficha?
 
Back
Top Bottom