Kipindi cha nyuma mabaharia walikuwa wakifanya sana starehe, kwa kuwa mwingi wa maisha yao walitumia melini na pesa ipo mfukoni. Ndipo walipokuwa wakishuka katika bandari lazima wapate mwanamke mpya na kuzuka msemo "New port,new wife".
Maisha haya ya starehe yaliwafanya mabaharia wengi wakizeeka kuwa masikini. Sababu melini huduma za chakula,matibabu ni bure. Baharia pesa yake inakuwa haina kazi ni kufanya starehe.
Hii imeacha historia ukimfata baharia wa zamani atakusimulia starehe kwenye majiji mbalimbali na nchi alizotembelea.