"New port, New wife" msemo uliotumika kwa mabaria wa meli walipokuwa wakifanya starehe.

"New port, New wife" msemo uliotumika kwa mabaria wa meli walipokuwa wakifanya starehe.

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,489
Reaction score
14,091
Kipindi cha nyuma mabaharia walikuwa wakifanya sana starehe, kwa kuwa mwingi wa maisha yao walitumia melini na pesa ipo mfukoni. Ndipo walipokuwa wakishuka katika bandari lazima wapate mwanamke mpya na kuzuka msemo "New port,new wife".

Maisha haya ya starehe yaliwafanya mabaharia wengi wakizeeka kuwa masikini. Sababu melini huduma za chakula,matibabu ni bure. Baharia pesa yake inakuwa haina kazi ni kufanya starehe.

Hii imeacha historia ukimfata baharia wa zamani atakusimulia starehe kwenye majiji mbalimbali na nchi alizotembelea.
 
Mabaharia
Screenshot_20190907-231515~2.jpeg
 
Back
Top Bottom