New posters

New posters

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Nafahamu kuwa hapa JF ni mahali palipojaa watu wenye upeo wa hali ya juu kuhusu matumizi ya kompyuta.Ndio maana huwa ninakimbilia hapa mara nyingi japo wakati mwingine siyo mahali pake.Nina imani kwa undugu uliojengwa na JF,mtanisaidia.
Ni kwamba tumeanzisha ICT laboratory.Na ili computer zetu zidumu muda mrefu na kuwe na matumizi sahihi nimepatiwa kazi ya kudesign posters za kuhamasisha na kukumbusha watumiaji.Ninachoomba ni mchango wa mawazo.Itakuwa vizuri ikiwa mtanisaidia ideas juu ya hizo posters.Sina pa kuanzia.
 
bado sijakupata labda ufafanue vizuri mkuu...kibaya zaidi kwenye picha hiyo umegeuka nyuma yaani umetupa watazamaji mgongo kuonesha kuwa huhitaji sana mchango wetu....au picha yako inamaanisha nini na ina uhusiano gani ktk hiki uombacho..
 
Mkuu ninaamini unaelewa maana ya avatar! Au avatar zote humu ni picha halisi za members?
Nilichoomba ni msaada wa kubuni posters mbalimbali kwa lengo la kuifanya lab tuliyoianzisha idumu na kuepuka maumizi mabaya ya laboratory hiyo ya ICT.naamini umenielewa mkuu.
 
Back
Top Bottom