New Product Coming Soon in East Africa

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Wakuu na product yangu mpya nataka kuingiza kwenye soko letu la Africa mashariki. Itakuwa ikitengenezewa hapa EA. Hiyo branding ya label yake inavutia.?? Je jina la REST ni zuri??. Its a alcoholic drink. Nipeni mahoni wadau. Afrika Mashariki ya viwanda tuitekeleze kwa vitendo wanangu wa JF kwa kushirikiana kimawazo.
 
Mzee wa ice bucket, hio Jina ni nzuri
 
Tatizo ni linanikumbusha Jina "Rest in Peace". sijui kwa nini
 
Good initiative, lakn that name...it is not creative enuff. It will give the impression of a cheap, low- grade product.

If I had an opportunity like u to launch my own beer, I would call it "Lounge Lager".
 
Mzee, Inategemea na target market yako, kama ni watu wa juu, lazima product iwe exceptional kwa kila kitu packaging mpaka liquor. Kama kawaida, itabidi kucheza na profit margins. Not too posh, not too cheap.
 
Tatizo ni linanikumbusha Jina "Rest in Peace". sijui kwa nini
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ For me I meant rest that of relaxing. Ukifika bar unasema nipatie REST nne hapo.
 
Good initiative, lakn that name...it is not creative enuff. It will give the impression of a cheap, low- grade product.

If I had an opportunity like u to launch my own beer, I would call it "Lounge Lager".
Lounge lager sounds good. Hi pombe haitengenezwi kwa ingredients zinazotumika kwenye beer. Its different but somehow sweet like Reds. Alcohol iko juu kidogo at 6% But from it tutatengeza pia light ya 4% alcohol level. Can you give me another good name. Please.
 
is it Wine, Beer or Spirit?
Red Wine or White Wine?
Whiskey, Brandy, Vodka or Gin ama Chang'aa
how much alcoholic %age?
Good question. Its like how you see bottled smirnoff ice. Just sweet alcoholic drink. Not what you have mentioned.
 
Mzee, Inategemea na target market yako, kama ni watu wa juu, lazima product iwe exceptional kwa kila kitu packaging mpaka liquor. Kama kawaida, itabidi kucheza na profit margins. Not too posh, not too cheap.
Mimi target yangu ni watu wakipato chakati(middle income). Pili itakuwa same price na beer.
 
Pia nataka nitumie green bottles kama zile za Heineken or Windhock.
 
Mgekuwa mnaleta Uzi kama hizi mgepunguza vumbi la TZ v KE
Kiukweli zinaumuhimu sana. Hii JF na mitandao mingine inabidi tuitumie pia katika kushirikiana kukuza wigo waki biashara. Always my target in doing business is on EA market. Ndomaana nataka pia na wakenya wanishauri. They are very good at branding. Msaada wao nahuitaji.
 
Mimi target yangu ni watu wakipato chakati(middle income). Pili itakuwa same price na beer.
OK, lakini nadhani utakuwa unaingilia soko ya bia kwa kuweka bei sawa na bia. Ninavyoona mimi utajipa mlima wa kupanda kwasababi bia tiyari ina loyal customers wake ambao wakitaka kikali watanunua whisky, gin or vodka. Nadhani ungenda a bit up (price wise), sio juu sana lakini kiasi cha kuonyesha utofauti wako. Anyway huo ni ushauri tuu, biashara ni kujaribu ili kulisoma soko.
 
Mature lager

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitaka biz poa sanana kenya jaribu makali(spirits) at a lower price...had a bloke huku nakuru and he made a fortune by selling 200ml spirits in a plastic bottle(royal brandy,gin,whiskey)..unfortunately the govt here banned all alcoholic drinks sold in plastic bottles...but kuna "waragu" from uganda sold in sachets...it sells like wildfire..shida ni inauzwa kama bhangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…