Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
-
- #41
ujenzi wa Sgr tz kwanza hauna hata mfadhili wa kifedha...sijui mtawezaje kufikisha reli kwa pesa zenu wenyeweUnajua kinachoendelea Tanzania juu ya ujenzi wa reli mpya ya SGR ama?
Haha inachekesha kuona umeandika kishabiki lakini sio ki-mantiki. Leo ni siku ya pili gari moshi la kenya linaendeshwa kwa hasara maana gharama zote mpaka hivi sasa na kwa kipindi chote cha mwaka mzima ni ruzuku. Hiyo bei ya Shs 50,000 sio gharama halisi, hata nauli za abiria sio halisi, ni ruzuku ndio inashikilia mradio huo. Wachina wamelalamika mnavyo shusha bei mpaka mradi unapoteza maana yake kalisi, lakini serikali ya Jubilee imeziba masikio na kutwanga mguu.
SGR allocated Sh15.5bn ‘subsidy’ for operations
Kenyatta ameenda na bakuli China lakini akasahau kwaambia wachina kama jirani zake Waganda na wao wanataka reli. matokeo yake mchina kawakaukia Waganda eti mpaka kenya ione faida ndio itawakopesha, kwa maana nyingine Mchina ameshaaza kuona reli ya Kenya inaweza isizae matunda kutokana nchi ambazo Kenya ina zitegemea wameshaanza kufikiria plan B.
Tulia sindano ikuingie, ujenzi umeshaanza awamu ya kwanza kwa fedha zetu. Vumilia ndani ya mwezi mmoja utapata details za awamu ya pili.ujenzi wa Sgr tz kwanza hauna hata mfadhili wa kifedha...sijui mtawezaje kufikisha reli kwa pesa zenu wenyewe
Kenya ni nchi inayopenda ushindani wa kibiashara, lakini mbona mradi huu unauwa mingine tena kwa makusudi? Bei iliyowekwa ya kubeba mizigo ni bei ya kiruzuku mambayo haita leta faida kwa kipindi kifupi kijacho. Inavyo onekana hapa maswala ya bei hayakuongelewa huko nyuma kati yenu na mchina maana bei aliyokuwa kichwani kwa mchina sio hiyo serikali inayo itaka.Kwani ulitegemea shughuli za reli zitajiendesha siku za kwanza bila ruzuku, lazima tuendeshe kwa ruzuku hapo mwanzo hadi pale mfumo utajisimamia.
Kenya ni nchi inayopenda ushindani wa kibiashara, lakini mbona mradi huu unauwa mingine tena kwa makusudi? Bei iliyowekwa ya kubeba mizigo ni bei ya kiruzuku mambayo haita leta faida kwa kipindi kifupi kijacho. Inavyo onekana hapa maswala ya bei hayakuongelewa huko nyuma kati yenu na mchina maana bei aliyokuwa kichwani kwa mchina sio hiyo serikali inayo itaka.
chokoraaa acha mapovuuuu😀Unajua kinachoendelea Tanzania juu ya ujenzi wa reli mpya ya SGR ama?
yenu ya umeme iko😀
hehehe..chokosh huna jipya😵Endeleeeni kuota tu.
Mchina ndio anaiendesha hiyo reli kwa miaka mitano ijayo, nia yao ni kujiridhisha kama hela yao itarufi au ndio Tembo mwingine mweupe . Nauli ni kitu hamkukiongea na wachina na wao walipojuwa bei yenyewe ndio hiyo, waka taamaki lakini waneamua kufinya maneno maana mpango wao mkubwa ni kutawala kiuchumi eneo lote hilo. (Nimeshanga kuona mpaka wahudumu wakike wanasimamishwa kama mabinti wa kichina, kinyune na utamaduni wao).Mchina hawezi kutupangia bei, serikali ndio yenye maamuzi, ina wataalam wanaopiga mahesabu kuntu. Mahesabu yamepigwa na kubaini kwamba kwa ada hiyo ya usafirishaji wa mizigo na nauli hiyo ya abiria, shirika litapata faida ya kujiendesha na pia kulipa mikopo pamoja na riba.
Mchina hana tatizo, hata waziri mkuu wa China alituma hotuba yake ikasomwa huku akipongeza kila hatua. Na kumbuka sisi ndio wenye dhamana ya kuruhusu Uganda na Rwanda wapate mikopo ya reli ya SGR.
Zaidi ya hapo, kuna mafao lukuki kwenye mradi huu zaidi ya kuangalia mapato ya nauli tu. Nimefuatilia uchambuzi wake hatua kwa hatua, neno kwa neno, wadau wamedadavua hadi imetulia. Hayo mengine unayoleta humu ni makelele ambayo hayatatuzuia kufanikisha mradi hadi pale mpakani mwa Kenya na Uganda, na pia safu itakayochana na kuwafikishia Watanzania wa kanda ziwa na wale wa Kaskazini mizigo kwa kasi.
Mchina ndio anaiendesha hiyo reli kwa miaka mitano ijayo, nia yao ni kujiridhisha kama hela yao itarufi au ndio Tembo mwingine mweupe . Nauli ni kitu hamkukiongea na wachina na wao walipojuwa bei yenyewe ndio hiyo, waka taamaki lakini waneamua kufinya maneno maana mpango wao mkubwa ni kutawala kiuchumi eneo lote hilo. (Nimeshanga kuona mpaka wahudumu wakike wanasimamishwa kama mabinti wa kichina, kinyune na utamaduni wao).
Hiyo reli kuhudumia Tanzania ni ndoto maana Uhuru mwenyewe alikataa tokea mwanzo. Kikwete alimuuliza mara nyingi tuu kwanini hatunganishi kipande kije mpaka Taveta Arusha, Kenyatta akapinda pinda akapotea. Mkiileta tena tutawatimua na vipande vyenu ya reli. Jana niliona kwenye mtandao wenu wa Kenya talk mtu ameweka Uzi kuuliza swali hilo hilo. Wakenya bila kujuwa ni rais wao ndio aliweka mguu chini wanasema eh kweli, kuipeka Tanzania tuta lamba noti. SMH
Waganda na wanyarwanda watafanya maamuzi yao wenyewe, Kenya sio wakuwapangia nini cha kufanya.
Aisee! video hii ukiangalia inahuzunisha sana.Ni kama yule jamaa wa kwenye Bible aliyefirisika na kuanza kula na nguruwe.Mwenyenz Mungu atusaidie jamaniChokoraa hawa hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha inachekesha kuona umeandika kishabiki lakini sio ki-mantiki. Leo ni siku ya pili gari moshi la kenya linaendeshwa kwa hasara maana gharama zote mpaka hivi sasa na kwa kipindi chote cha mwaka mzima ni ruzuku. Hiyo bei ya Shs 50,000 sio gharama halisi, hata nauli za abiria sio halisi, ni ruzuku ndio inashikilia mradio huo. Wachina wamelalamika mnavyo shusha bei mpaka mradi unapoteza maana yake kalisi, lakini serikali ya Jubilee imeziba masikio na kutwanga mguu.
SGR allocated Sh15.5bn ‘subsidy’ for operations
Kenyatta ameenda na bakuli China lakini akasahau kwaambia wachina kama jirani zake Waganda na wao wanataka reli. matokeo yake mchina kawakaukia Waganda eti mpaka kenya ione faida ndio itawakopesha, kwa maana nyingine Mchina ameshaaza kuona reli ya Kenya inaweza isizae matunda kutokana nchi ambazo Kenya ina zitegemea wameshaanza kufikiria plan B.
Haha, eti mimi nakesha, kuna mtu anakesha kwenye hii mitandao kama wewe. Maana unabadika nyuzi hadi nyuzi na nadhani hata huko kwenye mitandao mwingine ni bingwa wa kichomeka nyuzi. Mimi hata mtandao wa kenya nilikuwa siujuwi, nakumbuka jana nilipitia uzi fulani hapa nikaona kuna mtu kautaja ndio na mimi nikatupia jicho.Napata raha jinsi unakesha ukifuata huu mradi ukitafuta chochote kibaya, nimefuata unavyobishana na kila Mkenya humu na pia unavyowabishia hata Watanzania wenye mitazamo chanya kwenye huu mradi.
Kwa taarifa yako ilikua lazima Wachina wawe nasi hadi pale watapokeza mradi kabisa maana kuna mengi humo ambayo ni mapya kwetu sisi.
Na kwa sisi kukumbatia tamaduni zao, hio sio tatizo maana hata mzungu alipotuletea yake ya mwanzo ilibidi tuishi kama alivyo, sasa kwa Mchina tutaongea hata lugha yake. Cha msingi leo hii tuna muundo mbinu wa kipekee ukanda wote huu. Endelea kukesha kwenye tovuti za Wakenya ukitafuta doa lakini sisi hapa tunapata raha.......Madaraka express kwa kwenda mbele.
Sisi tuna negotiate deal ya $9 billion! Unafikiri tunazitumia wapi?Uganda is negotiating a $2.3 billion (about Sh236.7 billion) loan with Exim Bank to fund an initial 273 kilometre track, linking Kampala to Kenya’s border town of Malaba.
The construction to be carried out by China Harbour Engineering Company is expected to take 40 months
Hii battle nyie mnaishadadia tu! Ni bora mjisifu kwa hii hatua mliyofikia, hayo masoko ya Rwanda na Uganda bado hayajajulikanaLeo hii tunakula na nyie soko la Rwanda ilhali tunatumia barabara iliyo ghali, sasa kwa reli inayopunguza gharama kwa nusu itakuaje.....tafakari.
Sisi hatutumii zile lugha zenu kwa Waganda na SA eti fadhila ya damu iliyomwagika au sijui undugu, tunapiga mahesabu yetu kibiashara na kutumia akili.
Haha, eti mimi nakesha, kuna mtu anakesha kwenye hii mitandao kama wewe. Maana unabadika nyuzi hadi nyuzi na nadhani hata huko kwenye mitandao mwingine ni bingwa wa kichomeka nyuzi. Mimi hata mtandao wa kenya nilikuwa siujuwi, nakumbuka jana nilipitia uzi fulani hapa nikaona kuna mtu kautaja ndio na mimi nikatupia jicho.
Swali lilikuwa hizo bei, ambazo mmeziweka mezani, zinalipa au Mpago Kazi (feasibility study) haukuwa sawa? Sitaki kutumia neno kukurupuka laki halikwepeki kutokana ndio kwanza serikali inaamza kutafuta kampuni inayoweza kutathmini bei za huduma. Anyway mdogo mdogo mtafika.
Haha, sijaona mtu wa kunibana hapa JF hata mmoja. Wengi wanakuja kwa kinyozi na kichwa kimejaa nyele halafu hawataki kunyolewa. Hapa hata kwa chupa tutakunyowa, kama hakuna chupa meno ni nyenzo pia utanyolewa tuu.Hehehe Hizo nyuzi nikibandika halafu naona unavyofuata na kubanana na kila mdau mwenye mtazamo mzuri kuhusu hii reli. Kuna sehemu niliona umepelekana na Mtanzania mwenzio hadi nikakushangaa, yaani jamaa unateseka. Anyway bora wewe ambaye umekita kwenye kutafuta mabaya ya mradi kuliko wenzako ambao wanatukana kabisa kwa jinsi haya mambo yanawauma.
Nimekwambia mahesabu yote yamefanywa, kuna wataalam wamekalia hii issue kwenye jopo kazi na kuhakikisha hatupotezi, huu mradi ni muhimu sana kwa nchi yetu. Ni uti wa mgongo maana unakatiza ndani ya nchi yetu mwanzo hadi mwisho.