- Thread starter
-
- #21
Nafikiri muanzisha mada, hajui anachokiongea wala hajui process ya kufanya shortlisting inafanywaje? Ngoja nikueleweshe vizuri;
Nikupe mfano mdogo tu, kuna kazi sisi tulitangaza majuzi. Mpaka leo tuna applications 650, na deadline haijafika bado. ili kutoa equal opprtunity for all ambao wanafiti kwenye initial competency guideline ni lazima tuite kama mia hivi kwenye aptitude.
- Kitu cha kwanza tunachofanya kabla hata ya kutangaza hizo kazi ni kutengeneza competency mapping ambayo itakuwa inaguide kwenye first stage selection of the applicants. Sasa wakati mwingine unawaza kukuta ambao wanafit inn kwenye hizo comptency ni 100. What do you do? do you call all of them for the oral interview?
- That is why many organisations nowdays they conduct APT test, TPT test etc - the aims of these is to get to know more about hao candidates and identfy the best in terms of their thinking ability, ability to solve problems and think out of the box.
nyie wenyewe ndio huwa mnalalamika kwanini mimi sijaitwa, mbona yule ameitwa na qualifications zetu ni sawa.
Nahisi we ndo hujui unaloliongea,huwezi kua na akili ukasema eti watu wame apply 1000 wote wame qlfy basi unawaita wote,huu ni ujinga kheri hata wakiwa 20 sawa sio 1000,acha kutetea ujinga wewe