New recruitment trend 1 post 1000 shortlisted

New recruitment trend 1 post 1000 shortlisted

Nafikiri muanzisha mada, hajui anachokiongea wala hajui process ya kufanya shortlisting inafanywaje? Ngoja nikueleweshe vizuri;
  1. Kitu cha kwanza tunachofanya kabla hata ya kutangaza hizo kazi ni kutengeneza competency mapping ambayo itakuwa inaguide kwenye first stage selection of the applicants. Sasa wakati mwingine unawaza kukuta ambao wanafit inn kwenye hizo comptency ni 100. What do you do? do you call all of them for the oral interview?
  2. That is why many organisations nowdays they conduct APT test, TPT test etc - the aims of these is to get to know more about hao candidates and identfy the best in terms of their thinking ability, ability to solve problems and think out of the box.
Nikupe mfano mdogo tu, kuna kazi sisi tulitangaza majuzi. Mpaka leo tuna applications 650, na deadline haijafika bado. ili kutoa equal opprtunity for all ambao wanafiti kwenye initial competency guideline ni lazima tuite kama mia hivi kwenye aptitude.

nyie wenyewe ndio huwa mnalalamika kwanini mimi sijaitwa, mbona yule ameitwa na qualifications zetu ni sawa.

Nahisi we ndo hujui unaloliongea,huwezi kua na akili ukasema eti watu wame apply 1000 wote wame qlfy basi unawaita wote,huu ni ujinga kheri hata wakiwa 20 sawa sio 1000,acha kutetea ujinga wewe
 
NSSF nafasi 2 wanaita watu 1500 halafu kila mtihani una maswali 30...sasa najiuliza kama wameshindwa kuchambua watu je, watawezaje kusahihisha mitihani yote hiyo? Huo ndio uwendawazimu tunaoukataa siku zote. Na pale NSSF asilimia 80 wanachukua waislamu tu.
 
Upuuzi wa hali ya juu, hakuna professionalism. Kama qualifications ni ndogo kiasi cha kuruhusu maelfu ya watu kufikia minimum qualifications basi iteni ishirini randomly kwenye interview hamuwezi kukosa atakayewafaa.
 
NSSF nafasi 2 wanaita watu 1500 halafu kila mtihani una maswali 30...sasa najiuliza kama wameshindwa kuchambua watu je, watawezaje kusahihisha mitihani yote hiyo? Huo ndio uwendawazimu tunaoukataa siku zote. Na pale NSSF asilimia 80 wanachukua waislamu tu.

Asante sana kaka,yana hapo ratio ni 1:750 hivi kwakweli kwann usumbue watu hv?mana wengine wanatoka mikoani kwann uwasumbue kuja mpk dar wakati kazi yenyewe ni ya bahati nasibu?huwezi kusahisha mitihani yote kwa umakini na ukasema umepata mtu bora katika watu 750,no way huu ni ujinga kabisa!
 
mmmh wenzenu tulishaacha kutafuta kazi kozi full undugulization huko......jiajiri kaka..
 
Jana waziri wa kazi kasema idadi ya wasomi ni wengi kuliko kazi zilizopo...so serikali inapambana na ombwe hili. Nawakilisha
 
Back
Top Bottom