New selected Students to join TEKU

Hiyo heading yenyewe duh! Sijui hizo degree mtakazo kuja nazo mtaani.
 
Mliochaguliwa TEKU,Wajibikeni kama nimo miongoni mwenu,LAZIMA KITAEELEWEKA,
Msisikie majungu,kwani ndivyo walivyo walimwengu,PALIPO MAENDELEO HAWAPEANI MIKONO,
HONGERENI SANA,
 
Hongereni sana mlio chaguliwa, sasa wajamen mbona vyuo vya serikali vimechelewa kiasi hichi?????TCU nao wamekuwa gunia la misumari awabebeki tena,duh,
 
Tuheshimiane sawa!Unajua nlkuwa na matokeo gan mpaka nmechaguliwa hapo?Unajua wote wanaochaguliwa teku ni vilaza eti eeh?Nyabafu ww aka.

Ndugu yangu, ukisikiliza ya hawa vilaza huku JF kama mwitu utakonda, wao wanajua vyuo ni UDSM,SUA, MUCE, MZUMBE nk tu! Karibu TEKU tupambane na changamoto za maisha.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…