New selected Students to join TEKU

New selected Students to join TEKU

Kwa mwenye info undergraduate wataripot tarehe gani?

karibu marmo, awali ilikuwa tufungue tar 2 oct, lakini huwa hawakawii kubadilisha, kuwa mvumilivu mimi nikipata taarifa za uhakika ntawajuza.
 
Last edited by a moderator:
Hawa teku mbona mambo yao nusu nusu wamesema joining instructions zipo kwenye web yao, nimesachi kila kona, bila bila
 
Hongereni saaana ninamajembe yangu mawili yamekuja hapo tumshukuru mungu saanaa maana any thing happen 4 reason
 
Pia eckenford tanga university,josiah kibila university college wametoaa.
 
daa!naomben mniangalizie wakali wangu wapo jeshini KALEBU MGENI NA POUL KIFYOGA
 
Back
Top Bottom