Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Kwa mwenye info undergraduate wataripot tarehe gani?
reporting day ya teku ni lini?
hiki nacho chuo? Makubwa
Tarehe 16-22 Sept ndio usajili 1st year.
source?
Wanajamii naombeni msaada wa kuniangalizia jina langu.ARCHANDRAMU MBUNGU.Natanguliza shukrani
KAKA nashukuru sana kwa kunijuza MUNGU akubariki sana .NIMEFURAHI SANA KUPATA NAFASI HII
Asante kwa kunijuza dada .pia samahani kwa kukosea.sikujua dada