vijana karibuni teku,chuo kipo mbeya jiji,maeneo ya block t,unashukia soweto bus stop,unaweza kunyooka na lami kwa miguu au kama umechoka saana unajipandia pikipiki au bajaji,kama kwenu zipo hata taxi unajichukulia,lakini ni karibu sana ukitoka main road,habari za tarehe ya kuripoti wewe download joining instruction,kwa njia ya mobile ni ngumu kuipata kama cm yako haina mobile pdf reader,kama vp ingia internet cafe au kama una laptop ni safi zaid.jipange vyema kifedha,kama boom likichelewa huwa hapatoshi,ukiripoti na pesa kama 1m ni vyema sana kama wewe ni wa heslb,lasivyo majanga.halafu kuna uwezekano mkalazimishwa kukaa hostel,be ready 4anything.lakini kelele za chura hazimzuii tembo kunya maji.hapa chuo kikuu bwana! mambo ya kupelekeshana hayana tija.hao wasemao TEKU sio chuo ni matahira na nguruwe pori,hawana jipya kichwani,kila taasisi kuna majanga yake,mema na mabaya hayakosekani,pimbi mwingine akasema eti ni cha kata,------- kabisa,tunalipa karibia 2m halafu unabinua magego yako we mwehu nn?.