DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 Sep 13, 2013 #61 Haya ndugu zangu karibuni TeoDON! Ntawaonyesha mpaka chimbo la kula mihogo,maharage,sungwe na nyanya chungu boom likikata! Mi nipo 2yrs hapa BEDMATH! Achaneni na hao wenye wivu njooni tulisongeshe
Haya ndugu zangu karibuni TeoDON! Ntawaonyesha mpaka chimbo la kula mihogo,maharage,sungwe na nyanya chungu boom likikata! Mi nipo 2yrs hapa BEDMATH! Achaneni na hao wenye wivu njooni tulisongeshe
A armando78 Member Joined Aug 24, 2013 Posts 45 Reaction score 2 Sep 13, 2013 #62 thanx bro mi mwenyewe nimechaguliwa kwa BED MATHS