😀😀😀😀😀😀😀😀😀Domondi hana jipya tena, ameshafika mwisho. Sasa tumerudi kwa Saida Kalori
Alisema saivi ni ngoma baada ya ngoma kama wasanii wanigeria vileeMbona anatoa nyingi kwa wakati 1
Hamjarudi kwa Saida Kalori.Domondi hana jipya tena, ameshafika mwisho. Sasa tumerudi kwa Saida Kalori
Mwisho wa siku pesa itakayopatikana 98% yote wanavuna kama MALIPO YA PROMO tena wanasema Wamekusaidia sana, uwashukuru.Clouds wakimganda msanii watampa promo kama anagombea uraisi vile
leo ana show escape one twende basiDomondi hana jipya tena, ameshafika mwisho. Sasa tumerudi kwa Saida Kalori
Notedleo ana show escape one twende basi
Sema wewe.Tunasubiri watu wa dar waseme kama wakisema nzuri basi sisi wa mikoani tutakubali pia
Zile mbili zimebuma kiaina so naoma kaamua kuja kwa ladha za kinejeria. Naona.kamwambia laizer abadili ladha ya biti maana wanaija wanatuzidigi biti tu but sio.mashairiMbona anatoa nyingi kwa wakati 1