New song: Eneka by Diamond Platnumz

New song: Eneka by Diamond Platnumz

Naona anazidi kupotea tu
Halafu ngoma zake hazidumu kabisa hivi sasa
Nyimbo tatu mfululizo halafu hakuna hata moja iliyoshtua Tanzania ni dalili mbaya kwa diamond
 
Naona anazidi kupotea tu
Halafu ngoma zake hazidumu kabisa hivi sasa
Nyimbo tatu mfululizo halafu hakuna hata moja iliyoshtua Tanzania ni dalili mbaya kwa diamond
Watu wanaachia Nyimbo kila wiki we unasemaje?!huuo hapo MrFlavour na video zake kwa siku moja
285d9ed0954e1cd9a6f7395589482742.jpg
 
Domondi hana jipya tena, ameshafika mwisho. Sasa tumerudi kwa Saida Kalori
Bila ya Diamond kufanya wimbo wa Salome huyo Saida msinge fikiria kabisa kurudi kwake.

Naona Diamond kawa SI unit ya muziki wa TZ, kila msanii sasa tunataka kumlinganisha nae.
 
Sio kwa ubaya ila hii nyimbo mbona ni Fall ya Davido,

Imekuaje tena au ni mimi nasikia vibaya?
 
Diamond naona RayVanny anaenda kumpoka Audience na kwa jinsi anavyoimba utapenda kumsikiliza.Mfano kuna ngoma naisikia CHUMA ULETE BY RayVanny ni nzuri haichoshi kuisikiliza.
 
Ngoja wiki ijayo alikiba akitoa nyimbo nae atatoa ingine yan jamaa anaroho mbaya huyu anatakaga awe yeye tu
 
Back
Top Bottom