New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao.


Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.


Kijana kaongea ukweli mtupu ila nashauri wamuache anene. Wimbo huu ni bora kuliko upuuzi wa wale wanaopenda kuimba mapenzi na upuuzi mwingine X-rated.
 
Steve nyerere kamwambia atakufa masikini
 
Tunangoja Bashungwa Atasema Nini Maana Hawachelewi
 
Namkubali Sana May wa Mitego anajitambua.
 
Huyu nae si alianza kudemka Mwanzo kwamba sasa ukombozi umepatikana?

[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nafurahi tu mabavicha mnavyonena kwa lugha
 
Back
Top Bottom