Yupp yupp!!Lizzy from Ara?
-Kaveli-
Yupp yupp!!
Siku ukija kwetu Ungalimited nicheki π
Nshafika hapa πNjoo chocho nijiridhishe jambo fulani. π
-Kaveli-
Kijana kaongea ukweli mtupu ila nashauri wamuache anene. Wimbo huu ni bora kuliko upuuzi wa wale wanaopenda kuimba mapenzi na upuuzi mwingine X-rated.Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao.
Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
Viongozi wa Tanzania na Familia zao Wana Uchumi mzuri zaidi ya WALIPA KODI ndio maana wamewapachika Jina la WANYONGE