Ha ha.. Your urban centers are no different from our rural areas.. Standards kaka..Hiyo haiondoi ukweli kwamba Tanzania is ahead in Urbanization, which means more morden economy, more access to advanced heath care, water and electricity, that's why Tanzania has got more $Millionaires than the rest of East African countries combined
Kwa hiyo na singapore ambayo ni 100% urbanised watu wanakimbilia wapi?!..usijifanye mjuaji wakati hamna ukijuachoUrbanised meaning kila mtu Tanzania anakimbilia kuishi Dar es sluum.
The country of one City/Town.
Usimwige Trump kwa kila jambo mengine dadisi mwenyeweFake news
Eti our urban centres, adhered by world bank, are no different from your rural areas, mbona wanasema tumewazidi sasa, haya nenda ukawafundishe kaziHa ha.. Your urban centers are no different from our rural areas.. Standards kaka..
What modern economy are you talking about? You are 60m people only doing 62usd billion in gdp.. While Kenya is just 47m people doing 100usd billion in gdp..
Yenu ni standards ziko chini,
We ni fala Sana wa buku Saba, Singapore ni Nchi Ndogo kuliko Dark es Sluum.Kwa hiyo na singapore ambayo ni 100% urbanised watu wanakimbilia wapi?!..usijifanye mjuaji wakati hamna ukijuacho
Wewe si pesa yako huwa inaishia Mombasa halafu unageuza na kurudi zako Tanzania. Sidhani hata kama umewahi tinga Nairobi hata kwa masaa machache. Stori yako ya kutembelea Mombasa ulishaiposti huku, tunakujua.Ukitaka kuielewa vizuri Kenya, Safiri kwa Barabara, pitia Tanga, mombasa hadi Nairobi ,
Ndio utaona ni Bora ukawa LDC kuliko middle Income kama ya Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
City ya pili, ya tatu na ya nne kwa ukubwa huko TZ ni gani?
Tembea Kenya kwanza ndio ufunguwe mdomo.All those businesses mentioned are own by foreigners. Thats why mnajiita middle income country wakati mnaishi kwenye slums na hamna huduma za kijamii. A free native kenyan life is more horrible than mfungwa aliyepo Tanzania
You know nothing about Modern Economy apart from your cooked GDP which is like hot air, can you show anything from it, Tanzania and Ethiopia are the only country with real GDP because you can see the effects on the ground no Kenya, remember Tanzania has more than twice number of $ Millionaires than Kenya, more urbanized Economy, while Kenya is a banana republicHa ha.. Your urban centers are no different from our rural areas.. Standards kaka..
What modern economy are you talking about? You are 60m people only doing 62usd billion in gdp.. While Kenya is just 47m people doing 100usd billion in gdp..
Yenu ni standards ziko chini,
We have bigger companies than you. We collect more taxes than you. We have more paved roads than you. We have a bigger ICT sector, banking sector, retail sector and so on. Kuna mambo mliyotushinda nayo na kuna mambo tuliyowashinda pia. Imf sio wajinga kusema uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Kama unapinga nenda kapingane nao pengine watakusikiliza.You know nothing about Modern Economy apart from your cooked GDP which is like hot air, can you show anything from it, Tanzania and Ethiopia are the only country with real GDP because you can see the effects on the ground no Kenya, remember Tanzania has more than twice number of $ Millionaires than Kenya, more urbanized Economy, while Kenya is a banana republic
Kenya haiwezi shinda Tanzania katikaWe have bigger companies than you. We collect more taxes than you. We have more paved roads than you. We have a bigger ICT sector, banking sector, retail sector and so on. Kuna mambo mliyotushinda nayo na kuna mambo tuliyowashinda pia. Imf sio wajinga kusema uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu. Kama unapinga nenda kapingane nao pengine watakusikiliza.
ha ha ha ..napenda vile huwa mnatetea Ethiopia,... wananchi wa ethiopia hutoroka kuja Kenya kutafuta riziki ...You know nothing about Modern Economy apart from your cooked GDP which is like hot air, can you show anything from it, Tanzania and Ethiopia are the only country with real GDP because you can see the effects on the ground no Kenya, remember Tanzania has more than twice number of $ Millionaires than Kenya, more urbanized Economy, while Kenya is a banana republic
Hujui kitu wewe nyamaza, Nchi kama Botswana, Mauritius, Seychelles zipo vizuri sana kiuchumi na hazipo katika top ten countries in Africa in terms of GDP.ha ha ha ..napenda vile huwa mnatetea Ethiopia,... wananchi wa ethiopia hutoroka kuja Kenya kutafuta riziki ...
umewahi kuskia Mkenya akitoroka kwenda Ethiopia ??? GDP ya Ethiopia ya watu 100m ni 90USD billion ndiyo nchi unazungumzia sasa?? saa zingine jifunze kunyamaza.
Nyinyi mlipika GDP growth kwa miaka 10, matokeo tuliyaona.
Economy size za nchi mbili ni rahisi kulinganisha ...
kwanza unaangalia consumption , then unaangalia exports ... then imports... ya bidhaa za kawaida , hizo zinaweza kukwambia ni economy gani kubwa kuliko nyingine...
Hata ukiangalia energy consumption and production,ukubwa wa Makampuni na faida inayotengenezwa, tax collection, soko la hisa it can easily tell you Kenyan economy is almost double of Tanzania..
Kenya ni Shadow economy on earth...... wamevurugwa kuona watz tunasongaHujui kitu wewe nyamaza, Nchi kama Botswana, Mauritius, Seychelles zipo vizuri sana kiuchumi na hazipo katika top ten countries in Africa in terms of GDP.
Kenya GDP yenu ipo katika figures lakini hakuna effect yoyote itokanayo na hiyo GDP. Jambo la kushangaza na kujiuliza ni kwamba, iweje Tanzani iwe na $Billionaire na more than twice number of $Millionaire kuliko Kenya kama kweli uchumi wa Kenya ni mkubwa?.
Hii maana yake ni kwamba huo uchumi haupo hapo nchini, kwamba Kenya kunarudi "figures" pekee lakini pesa yote ibabaki kwa wenyewe nje ya Kenya.
Hujui kitu wewe nyamaza, Nchi kama Botswana, Mauritius, Seychelles zipo vizuri sana kiuchumi na hazipo katika top ten countries in Africa in terms of GDP.
Kenya GDP yenu ipo katika figures lakini hakuna effect yoyote itokanayo na hiyo GDP. Jambo la kushangaza na kujiuliza ni kwamba, iweje Tanzani iwe na $Billionaire na more than twice number of $Millionaire kuliko Kenya kama kweli uchumi wa Kenya ni mkubwa?.
Hii maana yake ni kwamba huo uchumi haupo hapo nchini, kwamba Kenya kunarudi "figures" pekee lakini pesa yote ibabaki kwa wenyewe nje ya Kenya.
mnasonga wapi na GDP gap inaongezeka ... saa hizi tunalenga Morocco ..Kenya ni Shadow economy on earth...... wamevurugwa kuona watz tunasonga
Hehehe, Hiyo inaitwa Sucker Punchwho told you hali ni mbaya? 75% thats from tax! for example mm nakaa arusha, the government collects here almost $2B from tourism alone which is more than all east african countries revenue za tourism combined na change ikabaki,
thats not to count how rich arusha is rich in minerals, diversity and many more
Kenya Pupulation below poverty Line 45% * 55m = 24M kenyansYaani mna towns nyingi kutushinda na bado nyie ni masikini kutushinda. Maajabu ya Musa haya. Hio ni kumaanisha watu wengi wanaoishi mijini ni masikini wa kutupwa.
Umesahau ZanzibarUna akili mgando sana.
Tanzania kuna majiji yafuatayo:-
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mbeya
5. Tanga
6. Dodoma
Manispaa zipo tele hata hazihesabiki
Mikoa 31+
Wilaya 130+
Zote hizo ni miji