New: Tanzania is the East Africa's most urbanised nation

Ukitaka kuielewa vizuri Kenya, Safiri kwa Barabara, pitia Tanga, mombasa hadi Nairobi ,
Ndio utaona ni Bora ukawa LDC kuliko middle Income kama ya Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Utamaduni wa watu wa lungalunga hauna tofauti na mkoa wa tanga na mkoa wa pwani ya tanzania kwa sababu wale Wana usiwahili mwingi ndani yao Wala huwezi ukapima ufanisi wao wa maisha kwa kuona nyumba za makuti maeneo hayo,ukitaka kujua tofauti angalia walls zao wanatumia mawe not even bricks halafu roofing ndio wanatumia makuti, tofauti na tanzania.
 
Paved roads nakataa, sio kwa huu mkeka naoushuhudia all over Tz.
 
Hela kwa wachache ipo kwenu kwenye millionaires wachache, huku kuna millionaires wengi so hela ipo kwa wengi.
 
Except Tz, get your facts right ke will not make it 1.5% growth
 
do farming...... while half of kenyan land is owned by two people
 
Urbanised meaning kila mtu Tanzania anakimbilia kuishi Dar es sluum.
The country of one City/Town.

Kama unauliza jibu ni hapana. Maana yake ni kufanya maeneo kuwa miji. Sifa za miji nadhani unazielewa. Kama huzielewi, uliza tu kiongozi. Pamoja sana.
 
Yaani mna towns nyingi kutushinda na bado nyie ni masikini kutushinda. Maajabu ya Musa haya. Hio ni kumaanisha watu wengi wanaoishi mijini ni masikini wa kutupwa.
huoni hata aibu? kenya halisi ni masikini mno kuliko Tanzania. Unafuu unaoonyeshwa na mabeberu na si wakenya hohehae ni kwamba kwamba sehemu kubwa ya vitega uchumi vya kenya vimeshikwa na wageni, WAKENYA NI MANAMBA KAMA WAKATI WA UKOLONI TU. Na hii inajustify slums nyingi kenya
 
How comes taxes ziko chini.?
I expected watu wa town wakuwe employed/self employed plus more tax ama wengi ni chokoraa town?
Low lifes kibao, slum/informal settlement dwellers kibao [emoji23][emoji23][emoji23] angalia Dar, out of 5 million people 10% are running the economy, others ni vijakazi, over 70% resides in informal settlements across Dar.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…