Mambo ya economy, business ,finance na development is clearly not your strength if can ask me how we have less millionaires than you yet your GDP is smaller...
Na kwani huyo billionaire wenu anazalisha billioni ngapi kwa mwaka. ?
so you want us to compare GDP pa capita now ?
bado mko chini yetu ....
Kenya GDP pa capita - 1,710.51 USD
Tanzania GDP pa capita - 1,050.68 USD
EThiopia GDP pa capita - 772.31 USD
Kuwa na millionaire/billionaire wengi kutushinda haisemi chochote kuhusiana na GDP, inamaanisha kuna pesa nyingi Tanzania ambayo ipo mikononi mwa wachache.. lakini hao wananchi wengine ni maskini wa kutupwa... hizo ni wealth distribution metrics.