Ncha
JF-Expert Member
- Jul 8, 2008
- 254
- 24
Dr Slaa hafai kuwa Rais na hii ni kwa sababu urais ni zaidi ya kufyatua mabomu Mwembayanga.
Juhudi zake jimboni si za kubeza hata kidogo hata hivyo urais sio tu hawezi bali hapati na hasa ukizingatia chama atakachogombea si chama cha siasa ni genge la wabangaizaji wa mjini tu
Nani anafaa na kwanini, JK ndio kimtamzamo hana tofauti na miss TZ sasa si afadhanli hata huyo anafyatua mabomu na yanawapata maadui
Bora enge la wabangaizaji wa mjini kuliko genge la mafisadi na matapeli wa siasa.