New Targets: Slaa na Raia Mwema


Nani anafaa na kwanini, JK ndio kimtamzamo hana tofauti na miss TZ sasa si afadhanli hata huyo anafyatua mabomu na yanawapata maadui

Bora enge la wabangaizaji wa mjini kuliko genge la mafisadi na matapeli wa siasa.
 
Dr Slaa ni mwanasiasa makini na wa wakati wake. Ameonyesha umahiri mkubwa katika kuelezea kile anachokiamini bila hofuuu... TUNAMWIHITAJI KAMA JAMII..

CCM lazima wawe na hofu kwani hata miongoni mwao wa kushindana na Mkuu wapo na wanamzidiiii...

Chadema waendelee na mikakati yao na wawe makini zaidi kwa kila hatuaa..Bahati Nzuri Mbowe na kamati ya wazee (baadhii) wako na msimamoo thabiti na ndoto ya Tanzania yenye nuru ya maendeleoo kwa wote inawezekana na italetwaa na CHADEMA IMARA.
 


Nina wasi wasi na siasa za Zitto kuwa ni mojawapo ya Mwanya au zoezi lenyewe ya kudhoofisha?
 
kwanini kila mtu anawasi wasi na Zito ? au ni kirusi cha maangamizo ndani ya CHADEMA.
 
Pamoja na porojo zake zitto kwamba hanunuliki lakini ukweli upo kwamba amekula mlungula aliopewa na mafisadi kwa baraka za JK hasa baada ya issue ya buzwagi.

Nawaomba CHADEMA wawe makini na zitto kabwe na wajiandae kuweka mikakati yao bila kumhusisha moja kwa moja ili siku anatangaza kujitoa kwenye chama asilete taabu.
 

unaweza kuweka hata ushahidi wa kimazingira?
 
Kwa hilo la Slaa kugombea uraisi linahitaji mkakati wa kikwelikweli si utani anagalieni matokeo ya kura za serikaliza mitaawalinzi wa kiura zetu wapo wapi?
 
Kweli watu mmefilisika!Dr.Slaa hawezi kumfikia Mbowe hata kwa 45% ya umakini katika chama chake,sembuse Tanzania!
 
Nani anafaa na kwanini, JK ndio kimtamzamo hana tofauti na miss TZ sasa si afadhanli hata huyo anafyatua mabomu na yanawapata maadui

Bora enge la wabangaizaji wa mjini kuliko genge la mafisadi na matapeli wa siasa.
Mods naanza kupata wasiwasi na utendaji wenu wa kazi,huyu jamaa anamtusi mkuu wa nchi na bado anaendelea kuleta kichefuchefu hapa jamvini,nina wasiwasi yaliyowapata the utamu yatarudia huku.Kuweni makini na watawala wa nchi kwani hata ktk biblia imeandikwa ni wajibu wenu kutii mamlaka ya wanaotawala.Take care!
 
Kwa hilo la Slaa kugombea urais linahitaji mkakati wa kikwelikweli si utani angalieni matokeo ya kura za serikali za mitaa walinzi wa kura zetu wapo wapi?.

kwanza kuwe na mkakati wa kugombea Udiwani na ubunge katika nchi nzima ambao wanakubalika kwa wananchi wetu, sasa kazi itakuwa pale tume ya uchaguzi wakati wa kukusanya matokeo wakaanza kuedit,

lini tutaweza kujumlisha matokeo ya vituo vyote Tanzania ? labda tuwe na mobile phones na scaner kwa kila wilaya ......na zaidi ...na zaidi...na zaidi...NA ZAIDI....KAZI KUBWA.

General hongera usikate tamaa,angalia mambo ya Acids na ajali na mengineyo......na tumaini unafahamu.

Maoni yangu Slaa kazana na Ubunge kwanza. WANANCHI WATASAIDIKA.
 
Napongeza siri kuvuja hakika na sasa waandishi andikeni huko watu wote wajue, maana mnashinda hapa kujua yale ambayo hamyajui . Andikeni juu ya mbinu chafu za hiki cha cha zamani na nguvu zake .
 
Naona hii thread kama inaleta kupanda na kushuka kwa presha.Ngoja tusubiri jinsi dola na wanasiasa wanavyopangilia kuingia 2010
 
CCM wanajiona kama vile wanahaki miliki ya nchi hii, na hili limejengwa kwa sisi wananchi kawashabikia hata kama wamefanya upupu.

Upinzani ni muhimu utilie mkazo kuelimisha wananchi hasa wa vijijini bila ivyi haya majambazi yataendelea kupora labda tuamue kutafuta machine gun
 
Mkuu, usitutie hasira saa hizi... mnataka kuwa watawala siyo viongozi... hii si ufalme, ni demokrasia, kama mkuu wa nchi hajiheshimu na sisi hatutamheshimu, Ebo! Usitutishe, kama una la kusema na la kumtetea useme, siyo kuleta vitisho hapa!
 
Jamani, naomba nitangaze rasmi kuwa niko tayari kuwa campaign na communication manager wa Dr Slaa, to be his David Plouffe. Kwa kushirikiana na watanzania, tutafanya grassroot movement ambayo CCM hawataona ndani. I just need the right person to believe in. (good reference my dear friend Nyani....ambaye alishuhudia kazi niliyofanya with the Obama campaign kwikwikwikwi)
Dr Slaa, nakuheshimu sana na ninaamini kwamba jinsi ulivyotoa maisha yako kwa Mungu awali, ndivyo inabidi ujitoe kwa ajili ya nchi yako...
Kama ushauri kwako, kubali kugombea and let us make history, mi naamini this is the right time, not 2015, it's NOW! Don't let this chance to make history, walk u by....
 

Vipi kipigo cha Tuesday? Heheheheheee...na hiyo ilikuwa appetizer tu....full course meal inakuja 2010 na 2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…