Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Thubutu ukainvest kwenye nchi za magharibi halafu ukatae kuweka shares zako kwenye masoko ya hisa za nchi hizo ili wale wanaotaka kununua hisa hizo katika nchi hizo waweze kufanya hivyo kirahisi.
Kama wanataka kuinvest Tanzania basi ni lazima Watanzania wanaotaka kununua shares zao waweze kununua shares hizo kirahisi na hili litawezekana tu kama shares hizo zinapatika katika Dar Stock Exchange na si vinginevyo.
Hii sio kweli! Nchi gani ya hiyo inayokulazimisha kulist kwenye stock exchange yao?
Na sioni ni jinsi gani exactly watu watafaidika kwa hii sheria, kuwa na shares za Voda haina maana kuwa lazima ufaidike wakipata faida, kampuni yenyewe ndo inaamua kama itatoa dividends.
Kwenye shares kuna risk, watu wakiingia hasara watakuja kulalamika humu kuwa wameibiwa!