NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Wanajamvi m2 wa 7 pamoja na waalimu wawili wananiambia leo kunalolote laweza kutokea, (kutangazwa kwa ajira mpya) kunaukwel wowote kuhusina na hilo? mwenye taarifa bac
 
Sidhani kama kunaukweli kuhusu hilo jambo, siku ya kutangazwa kwa ajira hakuna mtu anaefaham isipokua idara/kitengo husika tu(TAMISEMI & wizara ya elimu(elimu), hata maafisa elimu hawafaham ni lini ajira hasa au ni tarehe gn ajir zitatangazwa,,,kuwa na subira tu, usisikie uzushi wa watu,
 
DAH! kwel hii ndo tz ajira hata hazjulikani lini kama kuja kwa mesia.
 
Lisemwalo lipo,
Hiyo TAMISEMI pamoja na wizara ya Elimu wafanyakazi wake ni binadamu na wanawasiliana na binadamu wenzao pia,
Let us wait.
 
DAH! kwel hii ndo tz ajira hata hazjulikani lini kama kuja kwa mesia.

Kabla hujashangaa ya ajira, shangaa hili: wadogo zetu wa Kidato cha Pili walifanya mtihani Septemba, 2013, mpaka leo hawajui watapata lini matokeo, huku shule zikiwa zimeshafunguliwa. Walikuwa wa kwanza kuondoka, wanakuwa wa mwisho kurudi.
 
Tetesi znadai madogo F2 wamefel sna kias cha kwmba wanashndwa kutangaza ila wana upgrade chin kwa chin..chezea BRN wewe
 
Ila kusema kwel 2mechoka 2 maisha ya kitaa mpaka naweza sema I Mic BUM SO MUCH..coz waliahd Jan, mwez haujaisha, 2subiri
 
Sidhani kama kunaukweli kuhusu hilo jambo, siku ya kutangazwa kwa ajira hakuna mtu anaefaham isipokua idara/kitengo husika tu(TAMISEMI & wizara ya elimu(elimu), hata maafisa elimu hawafaham ni lini ajira hasa au ni tarehe gn ajir zitatangazwa,,,kuwa na subira tu, usisikie uzushi wa watu,

Nasukuru bwana angalau kdogo 2nafarijiana, thanx
 
Back
Top Bottom