NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

walsema kuanzia JANUARI cyo januari, wangesema januari ningekuwa na uhakika, tafsiri yao inamaana januar,februar.... 2vumilie

...Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, alisema...
¡°Serikali inatambua uhaba wa walimu na kila mwaka inatoa ajira mpya za walimu. Januari 2014 Serikali itatoa ajira 26,000 za walimu wapya na maelekezo mengine yatafuata"...

Read more here: Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari
 
Ajira za walimu wapya zitatangazwa tar 19 mwez huu,
Jiandaeni,
Mshahara wa degree ni laki 6 take home.
By Mulugo.
 
Patrick The Noble

Last edited by a moderator:
Ajira za walimu wapya zitatangazwa tar 19 mwez huu,
Jiandaeni,
Mshahara wa degree ni laki 6 take home.
By Mulugo.

Je umewahi kuona shughuli za umma (serikali) zikifanywa Jumapili? Uwe na aibu unapandika mbele za wasomi.
 
Ajira za walimu wapya zitatangazwa tar 19 mwez huu,
Jiandaeni,
Mshahara wa degree ni laki 6 take home.
By Mulugo.

Je umewahi kuona shughuli za umma (serikali) zikifanywa Jumapili? Mishahara inatangazwa na Utumishi, siyo Elimu. Sawa! Je kwa bajeti ipi? Uwe na aibu unapandika pumba chafu mbele za wasomi. Ikiwa huna cha kuandika, kaa kimya.
 
Wanajamvi m2 wa 7 pamoja na waalimu wawili wananiambia leo kunalolote laweza kutokea, (kutangazwa kwa ajira mpya) kunaukwel wowote kuhusina na hilo? mwenye taarifa bac

correction: walimu
 
Bora mupewe huo mshahara wa 450,000/= na nyie mupange bajeti mwezi mzima kuna pango, nauli, chakula,....... nk
 
Je umewahi kuona shughuli za umma (serikali) zikifanywa J Jumapili? Uwe na aibu unapandika mbele za wasomi.
Wewe kijana,
Umesoma ualimu umekaa sana kitaa ndo maana una hasira !
Kwa taarifa yako ajira ni mwez July 2015.
 
Back
Top Bottom