Mwezi wa 7
lini? Watu tunahamu ya kushika mishahara! Loh!
walsema kuanzia JANUARI cyo januari, wangesema januari ningekuwa na uhakika, tafsiri yao inamaana januar,februar.... 2vumilie
kushika mshahara au chaki?
Ajira za walimu wapya zitatangazwa tar 19 mwez huu,
Jiandaeni,
Mshahara wa degree ni laki 6 take home.
By Mulugo.
...Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, alisema...
¡°Serikali inatambua uhaba wa walimu na kila mwaka inatoa ajira mpya za walimu. Januari 2014 Serikali itatoa ajira 26,000 za walimu wapya na maelekezo mengine yatafuata"...
Read more here: Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari
Ajira za walimu wapya zitatangazwa tar 19 mwez huu,
Jiandaeni,
Mshahara wa degree ni laki 6 take home.
By Mulugo.
Ajira za walimu wapya zitatangazwa tar 19 mwez huu,
Jiandaeni,
Mshahara wa degree ni laki 6 take home.
By Mulugo.
Wanajamvi m2 wa 7 pamoja na waalimu wawili wananiambia leo kunalolote laweza kutokea, (kutangazwa kwa ajira mpya) kunaukwel wowote kuhusina na hilo? mwenye taarifa bac
mshahara chaki mbona hata dukani zipo !! Swali lingine?
Samahani lakini, naongezeapo tu. Umeme, maji.Bora mupewe huo mshahara wa 450,000/= na nyie mupange bajeti mwezi mzima kuna pango, nauli, chakula,....... nk
Wewe kijana,Je umewahi kuona shughuli za umma (serikali) zikifanywa J Jumapili? Uwe na aibu unapandika mbele za wasomi.
Samahani lakini, naongezeapo tu. Umeme, maji.
wewe maj na umeme vitokee wap huku madongo kuinama??