Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hotel ni ya umma au binfasi
Mke wake yule mama wa mjini alishachoka naonaDu si ya mzee kimambi ilikuwa
Exactly ni triz, yule mama atakuwaTriz Motel, pale ni kwa marehemu mzee Jumanne Kimambi, itakuwa aliyeuza ni mjane wa marehemu, ila kwa bilioni moja mbona kama kapatupa sana
Na nimjuavyo huyo mjane hiyo hela lazima atajirusha nayo tuTriz Motel, pale ni kwa marehemu mzee Jumanne Kimambi, itakuwa aliyeuza ni mjane wa marehemu, ila kwa bilioni moja mbona kama kapatupa sana
Triz Motel, pale ni kwa marehemu mzee Jumanne Kimambi, itakuwa aliyeuza ni mjane wa marehemu, ila kwa bilioni moja mbona kama kapatupa sana
Exactly ni triz, yule mama atakuwa
Kachoka
Ova
error inadaiwa bei iliyouzwa hiyo hotel ni ndogo.Du pesa inaongea hatari sana
we yanakuhusu nini kama sii umbea wa kwenye makalio ya khanga.Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo
Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni Marehemu na ni babake mwanaharakati maarufu mitandaoni anayeichachafywa sana Serikali na anayeishi ughaibuni
Mwenye taarifa sahihi atujuze maana tetesi zadai thamani ya eneo husika yaonekana ni kubwa mara mbili au tatu kuzidi thamani ya Fedha zilizolipwa
Juzi nimepita hapo kuna nyama choma safi na ugali! Pia pana lodge nzuri sana kwa nyuma chumba self 20,000.
Na wewe mbona umekuja kumfokea kama unamfahamu? Punguza jaziba Mkuuwe yanakuhusu nini kama sii umbea wa kwenye makalio ya khanga.
tafuta hela acha kutafuta umbea dada
[emoji1787][emoji1787]Kwamba na hii ni taarifa kwa umma
Jina ni Tiger Motel, zamani Triz Motel na sio Tiger Hotel.Wadau hamjamboni nyote?