Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo
Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni Marehemu na ni babake mwanaharakati maarufu mitandaoni anayeichachafywa sana Serikali na anayeishi ughaibuni
Mwenye taarifa sahihi atujuze maana tetesi zadai thamani ya eneo husika yaonekana ni kubwa mara mbili au tatu kuzidi thamani ya Fedha zilizolipwa
Juzi nimepita hapo kuna nyama choma safi na ugali! Pia pana lodge nzuri sana kwa nyuma chumba self 20,000.