Tetesi: New Tiger hotel Africana yauzwa kwa billionea mama wa kihaya, ni mmiliki wa shule Jirani, alipa Fedha taslimu bilioni moja

Hiyo Hotel akina Ridhiwani si ndio huwa wanaenda kula ugali na mnafu hapo?
 
Mmiliki aliyeuza ni marehemu?

Ebu tulia kidogo mkuu.
 
"chumba self 20,000", na short course ni shilingi ngapi? Maana hii ndiyo maarufu Dar.
 
Heee!! Wewe shida yako nini???
 
Duh...!, asante kwa story hii niliwahi isikia, ila leo ndio nimejua kumbe ni mke wa Sam!, Sam ni class mate wangu Tambaza na mshikaji wangu sana tuu, and is very bright, ni mwanasiasa mzuri, kosa lake ni moja tuu, yuko kwenye chama ambacho sio!, angekuwa kwenye kile chetu, saa hizi siku nyingi angekuwa waziri!.

Huyu jamaa na japo ni wa Kigoma ila muonekano wake ni wa wale irani zetu ambao wako wengi serikalini na wako very bright na brilliant, mmoja wa jamaa hawa wa jirani, Mama yake ni Mtanzania, yeye hakuzaliwa Tanzania, alikuja akiwa 5 years babu mzaa mama akampa jina la kihaya, Mama yake akaolewa na Mtanzania, mtoto akaandikishwa shule kwa jina la baba wa jufikia, akawa Mtanzania!, baadaye si akaja kuwa nanilii wetu!, halafu tunajitapa eti tuna wale jamaa wanafanyaga vetting!. Kwa sasa kwenye cabinet yetu tunao hawa jamaa watatu ambao ni wa kwa jirani zetu and they are real good!.
P
 
General mkunda alishalalamika, the best way wanayotumia wakiingia tu hawajifunzi kiha Wala kihangaza, wao hujifunza kisukuma au kihaya Kwa weledi mkubwa, hapo ndio vyombo hupotezewa maboya, na walivo na akili hua wanakua na uraia wa origin yao pia na wana vikao vyao Kwa mwaka mara mbili, wengine wako UDSM kama malecturer , kuna wakati naangalia unasema tulipotea njia kitambo na wale ambao ni jumuiya moja na wazazi wako wapo tu,
 
Duh! Mama si huwa anapita hapa?
 
Good thinking
 
Duh! Mama si huwa anapita hapa?
Ni kweli Maza anapita humu ila uwezo wake sii unaujua, kutokana na kuwa yuko very busy, huwa anaishia kusoma headings only, the rest anawategemea sana wale jamaa zetu ambao nao ni empty!. Tuna majirani watatu ndani ya cabinet yetu!, they are good very smart bright and very brilliant.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…