Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Hivi mjane, mama kimambi ni nani? Nimesahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmiliki aliyeuza ni marehemu?Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo
Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni Marehemu na ni babake mwanaharakati maarufu mitandaoni anayeichachafywa sana Serikali na anayeishi ughaibuni
Mwenye taarifa sahihi atujuze maana tetesi zadai thamani ya eneo husika yaonekana ni kubwa mara mbili au tatu kuzidi thamani ya Fedha zilizolipwa
Juzi nimepita hapo kuna nyama choma safi na ugali! Pia pana lodge nzuri sana kwa nyuma chumba self 20,000.
"chumba self 20,000", na short course ni shilingi ngapi? Maana hii ndiyo maarufu Dar.Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo
Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni Marehemu na ni babake mwanaharakati maarufu mitandaoni anayeichachafywa sana Serikali na anayeishi ughaibuni
Mwenye taarifa sahihi atujuze maana tetesi zadai thamani ya eneo husika yaonekana ni kubwa mara mbili au tatu kuzidi thamani ya Fedha zilizolipwa
Juzi nimepita hapo kuna nyama choma safi na ugali! Pia pana lodge nzuri sana kwa nyuma chumba self 20,000.
- Tetesi: - New Tiger hotel Africana yauzwa kwa billionea mama wa kihaya, ni mmiliki wa shule Jirani, alipa Fedha taslimu bilioni moja"chumba self 20,000", na short course ni shilingi ngapi? Maana hii ndiyo maarufu Dar.
Heee!! Wewe shida yako nini???Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana
Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa
Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo
Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni Marehemu na ni babake mwanaharakati maarufu mitandaoni anayeichachafywa sana Serikali na anayeishi ughaibuni
Mwenye taarifa sahihi atujuze maana tetesi zadai thamani ya eneo husika yaonekana ni kubwa mara mbili au tatu kuzidi thamani ya Fedha zilizolipwa
Juzi nimepita hapo kuna nyama choma safi na ugali! Pia pana lodge nzuri sana kwa nyuma chumba self 20,000.
Ni sawasawa na bus TATA 10 zenye hali nzuri.Kauza bilioni Moja tu?Hela ndogo sana hiyo Kwa uthamani wa eneo Hilo.
Basi kuna mtu atakuwa "anamtia "kichwa.Triz Motel, pale ni kwa marehemu mzee Jumanne Kimambi, itakuwa aliyeuza ni mjane wa marehemu, ila kwa bilioni moja mbona kama kapatupa sana
Duh...!, asante kwa story hii niliwahi isikia, ila leo ndio nimejua kumbe ni mke wa Sam!, Sam ni class mate wangu Tambaza na mshikaji wangu sana tuu, and is very bright, ni mwanasiasa mzuri, kosa lake ni moja tuu, yuko kwenye chama ambacho sio!, angekuwa kwenye kile chetu, saa hizi siku nyingi angekuwa waziri!.Jumanne kimambi, mtu aliepata tenda ya kujenga karibu veta zote Tanzania, alikua anamla yondo sister, akajichanganya akiwa anajenga veta kigoma akala mke wa Sam ruhuza alikua BP , na familia ile wako njema enzi hizo, kimambi akawekewa mtego dar, akamwita bibie ikawa wameandaliwa mabaunsa hotel moja posta, wakamgeuza Kwa zamu, kama watano huku wakichukua video, baada ya hapo Sam akaondoka na mke wake wakapaa USA kusameheana, wakatishia kurusha mapicha na video hizo, J akaona isiwe taabu akaelekea ufukweni kujipiga risasi story ikaishia pale, na mali zinamfuata moja baada ya nyingine itabakia shule ya msingi kimambi aliyowahengea huko mtwara maana mama mange alikua mmakonde aliona apeleke fadhila kidogo huko umakondeni
General mkunda alishalalamika, the best way wanayotumia wakiingia tu hawajifunzi kiha Wala kihangaza, wao hujifunza kisukuma au kihaya Kwa weledi mkubwa, hapo ndio vyombo hupotezewa maboya, na walivo na akili hua wanakua na uraia wa origin yao pia na wana vikao vyao Kwa mwaka mara mbili, wengine wako UDSM kama malecturer , kuna wakati naangalia unasema tulipotea njia kitambo na wale ambao ni jumuiya moja na wazazi wako wapo tu,Duh...!, asante kwa story hii niliwahi isikia, ila leo ndio nimejua kumbe ni mke wa Sam!, Sam ni class mate wangu Tambaza na mshikaji wangu sana tuu, and is very bright, ni mwanasiasa mzuri, kosa lake ni moja tuu, yuko kwenye chama ambacho sio!, angekuwa kwenye kile chetu, saa hizi siku nyingi angekuwa waziri!.
Huyu jamaa na japo ni wa Kigoma ila muonekano wake ni wa wale irani zetu ambao wako wengi serikalini na wako very bright na brilliant, mmoja wa jamaa hawa wa jirani, Mama yake ni Mtanzania, yeye hakuzaliwa Tanzania, alikuja akiwa 5 years babu mzaa mama akampa jina la kihaya, Mama yake akaolewa na Mtanzania, mtoto akaandikishwa shule kwa jina la baba wa jufikia, akawa Mtanzania!, baadaye si akaja kuwa nanilii wetu!, halafu tunajitapa eti tuna wale jamaa wanafanyaga vetting!. Kwa sasa kwenye cabinet yetu tunao hawa jamaa watatu ambao ni wa kwa jirani zetu and they are real good!.
P
Duh! Mama si huwa anapita hapa?Duh...!, asante kwa story hii niliwahi isikia, ila leo ndio nimejua kumbe ni mke wa Sam!, Sam ni class mate wangu Tambaza na mshikaji wangu sana tuu, and is very bright, ni mwanasiasa mzuri, kosa lake ni moja tuu, yuko kwenye chama ambacho sio!, angekuwa kwenye kile chetu, saa hizi siku nyingi angekuwa waziri!.
Huyu jamaa na japo ni wa Kigoma ila muonekano wake ni wa wale irani zetu ambao wako wengi serikalini na wako very bright na brilliant, mmoja wa jamaa hawa wa jirani, Mama yake ni Mtanzania, yeye hakuzaliwa Tanzania, alikuja akiwa 5 years babu mzaa mama akampa jina la kihaya, Mama yake akaolewa na Mtanzania, mtoto akaandikishwa shule kwa jina la baba wa jufikia, akawa Mtanzania!, baadaye si akaja kuwa nanilii wetu!, halafu tunajitapa eti tuna wale jamaa wanafanyaga vetting!. Kwa sasa kwenye cabinet yetu tunao hawa jamaa watatu ambao ni wa kwa jirani zetu and they are real good!.
P
Good thinkingJina ni Tiger Motel, zamani Triz Motel na sio Tiger Hotel.
Baada ya mmiliki kufa kwa kujiua, watoto wakashindwa ku pa run, most of the times rooms ni empty, na ukiongea tuu na mlinzi, unapewa room hata kwa 10,000 tuu!, kujipumzisha!.
Kama ni kweli imeuzwa kwa 1 B, mnunuzi ni amenunua kwa bei chee karibu na bure, ni kama ameokota!. Ila 1 B cash...!, I doubt!.
Fedha za Tanzania zinafungwa kwenye denominations ya milioni 1, kila bundle ni milioni 10, hivyo 1.B cash ni bandali 100 za milioni kumi kumi!, why ziwe cash?!.
P
Ni kweli Maza anapita humu ila uwezo wake sii unaujua, kutokana na kuwa yuko very busy, huwa anaishia kusoma headings only, the rest anawategemea sana wale jamaa zetu ambao nao ni empty!. Tuna majirani watatu ndani ya cabinet yetu!, they are good very smart bright and very brilliant.Duh! Mama si huwa anapita hapa?