Tetesi: New Tiger hotel Africana yauzwa kwa billionea mama wa kihaya, ni mmiliki wa shule Jirani, alipa Fedha taslimu bilioni moja

Watu wa valuation mtusaidie pana thamani gani pale?
 
Acha uongo wewe mwanamke,Kimambi alikunywa sumu ndani ya hotel yake palepale Triz motel, ilikuwa kwenye mwaka 2003 au 2002, mi wakati huo nakaa pale karibu afrikana pub,na pale Triz ilikuwa chimbo langu lakupigia malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…