Tetesi: New Tiger hotel Africana yauzwa kwa billionea mama wa kihaya, ni mmiliki wa shule Jirani, alipa Fedha taslimu bilioni moja

Wadau hamjamboni nyote?

Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana

Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa

Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo

Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni Marehemu na ni babake mwanaharakati maarufu mitandaoni anayeichachafywa sana Serikali na anayeishi ughaibuni

Mwenye taarifa sahihi atujuze maana tetesi zadai thamani ya eneo husika yaonekana ni kubwa mara mbili au tatu kuzidi thamani ya Fedha zilizolipwa

Juzi nimepita hapo kuna nyama choma safi na ugali! Pia pana lodge nzuri sana kwa nyuma chumba self 20,000.
Tiger Hotel au Tiger Motel? Kama ni Tiger Motel ni ya akina Mange Kimambi hiyo, kuuzwa ilikuwa ni suala la muda tu, maana iliwashinda kitambo.

Ova
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hizo ni tetesi kutokea pande za mbezi Beach - africana

Yasemekana new tiger hotel/bar iliyopo hapo africana tayari imeuzwa

Mnunuzi yadaiwa ni mama mmoja tajiri wa kihaya anayemiliki shule na amelipa cash billion 1 kupata eneo hilo

Yasemekana pia mmiliki aliyeuza ni Marehemu na ni babake mwanaharakati maarufu mitandaoni anayeichachafywa sana Serikali na anayeishi ughaibuni

Mwenye taarifa sahihi atujuze maana tetesi zadai thamani ya eneo husika yaonekana ni kubwa mara mbili au tatu kuzidi thamani ya Fedha zilizolipwa

Juzi nimepita hapo kuna nyama choma safi na ugali! Pia pana lodge nzuri sana kwa nyuma chumba self 20,000.
Tangazo toka kwa meneja. Haya tutakaribia
 
Hilo eneo inasemekana kanunua
Mama wa kihaya mwenye shule ya st joseph
Ila kwa b1 nawashangaa sana
Maana kuna jamaa yangu mmja ana kampuni ya contruction anaitwa Tom namis ana yuko vzr sana alishawapa offer ya juu zaidi ya hyo wakat fulani ila wao wakakata....hyo jamaa pesa ipo na na yuko vzr
Sema mjane na watoto wake wana wenge nqchojuwa tu wana njaa sahv
Watoto wa kimambi wale wkn ANL
wana njaa hatari kwqnza kabla waahauza mali nyingi za mzee na hawajafanya jambo lolote

Ova
Pole yao,wangemuuzia dada yao wa ulaya lile eneo
 
Jumanne kimambi, mtu aliepata tenda ya kujenga karibu veta zote Tanzania, alikua anamla yondo sister, akajichanganya akiwa anajenga veta kigoma akala mke wa Sam ruhuza alikua BP , na familia ile wako njema enzi hizo, kimambi akawekewa mtego dar, akamwita bibie ikawa wameandaliwa mabaunsa hotel moja posta, wakamgeuza Kwa zamu, kama watano huku wakichukua video, baada ya hapo Sam akaondoka na mke wake wakapaa USA kusameheana, wakatishia kurusha mapicha na video hizo, J akaona isiwe taabu akaelekea ufukweni kujipiga risasi story ikaishia pale, na mali zinamfuata moja baada ya nyingine itabakia shule ya msingi kimambi aliyowahengea huko mtwara maana mama mange alikua mmakonde aliona apeleke fadhila kidogo huko umakondeni
 
Jina ni Tiger Motel, zamani Triz Motel na sio Tiger Hotel.

Baada ya mmiliki kufa kwa kujiua, watoto wakashindwa ku pa run, most of the times rooms ni empty, na ukiongea tuu na mlinzi, unapewa room hata kwa 10,000 tuu!, kujipumzisha!.

Kama ni kweli imeuzwa kwa 1 B, mnunuzi ni amenunua kwa bei chee karibu na bure, ni kama ameokota!. Ila 1 B cash...!, I doubt!.

Fedha za Tanzania zinafungwa kwenye denominations ya milioni 1, kila bundle ni milioni 10, hivyo 1.B cash ni bandali 100 za milioni kumi kumi!, why ziwe cash?!.
P
Msimila naona hayo ni maeneo ya anga zako.
 
Jumanne kimambi, mtu aliepata tenda ya kujenga karibu veta zote Tanzania, alikua anamla yondo sister, akajichanganya akiwa anajenga veta kigoma akala mke wa Sam ruhuza alikua BP , na familia ile wako njema enzi hizo, kimambi akawekewa mtego dar, akamwita bibie ikawa wameandaliwa mabaunsa hotel moja posta, wakamgeuza Kwa zamu, kama watano huku wakichukua video, baada ya hapo Sam akaondoka na mke wake wakapaa USA kusameheana, wakatishia kurusha mapicha na video hizo, J akaona isiwe taabu akaelekea ufukweni kujipiga risasi story ikaishia pale, na mali zinamfuata moja baada ya nyingine itabakia shule ya msingi kimambi aliyowahengea huko mtwara maana mama mange alikua mmakonde aliona apeleke fadhila kidogo huko umakondeni
Historia imeandikwa na haitofutika mabaunsa watano zamu kwa zamu Jumanne mmoja video kwenye camera picha picha km dab yupo kwenye press conference hata Mimi ningejivesha mabomu nijilipue kwani bei gani? Usiulize nini nimekuuliza kufa bei gani? Umesema Mali zote zinamfuata inamaana ndio analipia gharama akiwa kaburini?
 
Back
Top Bottom