New Track:Siri ya Mchezo-FID Q feat Juma Nature

New Track:Siri ya Mchezo-FID Q feat Juma Nature

mtaniaminishaje kuwa hii mistari kaandika fid q?

jiaminshe mwenyewe,kama hutaki kuamini unataka nani akuaminshe? Kama unamuamin kubanda ni juu yako,na kama hutaki kuamini pia juu yako. Acha tuenjoy mziki mzuri.
 
jiaminshe mwenyewe,kama hutaki kuamini unataka nani akuaminshe? Kama unamuamin kubanda ni juu yako,na kama hutaki kuamini pia juu yako. Acha tuenjoy mziki mzuri.
Mkuu nawe uache majibu mepesi. Kuna watu handika nyimbo na kuziuza.Yawezekana limetokea hilo. Na nimesema hivyo kutokana na uzito wa mashairi. Hata hivyo sikupenda kuendelea kujibu.
 
Kivipi nimkazie jicho wakati binti kasimama?
maana zake izi hapa bob
1- Kivipi nimle tu kwa macho wakati demu mwenyewe ni mzuri?(demu kasimama maana yake demu mrembo)
2- kivipi niishie namtazama tuu wakati binti kashasima,hapa binti kama alikuwa anatembea then akasimama..so inabidi amfuate amtokee.
3- kivipi nitamkaza kwenye jicho wakati binti kasimama(hapa jicho ni sehemu ya haja kubwa,,,kumuingilia demu kinyume na maumbile sharti hainame,,,akisimama inasumbua ndio maana Fid anauliza 'kivipi'.....

Hahaha ila ni kweli Fid alikuwa anamaana hizi tatu au ni kwa mujibu ya tafsiri/uelewa wako?
 
Back
Top Bottom