new trick ya kudisable all usb ports

new trick ya kudisable all usb ports

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
1,001
Reaction score
103
nenda kwenye start,click run na andika regedit
baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR

kwenye usbstor badilisha value data.badala ya 3 andika 4.
kazi imeisha.usbport zote za copmuter zimekuwa disabled.

ukitaka kurudisha ili ziweze kusoma

kwenye usbstor rudisha value ile ile 4 badala ya tatu
hapo sasa all port za usb zitakuwa zinafanya kazi.

for english

gO TO --> START --> RUN

NOW TYPE REGEDIT

NOW LOOK FOR THE KEY :
HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR

NOW FIND THE KEY THERE CALLED :-
"Start"
DOUBLE CLICK ON IT.
NOW CHANGE THE VALUE DATA 3 --> 4
YOU HAVE DONE IT
NOW CLOSE THE REGISTRY AND YOU'LL SEE THE RESULT.
YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE DISABLED

TO RE-ENABLE/UNBLOCK USB PORTS JUST CHANGE THE VALUE DATA AGAIN 4 --> 3
NOW YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE RE-ENABLED.

Sasa mkuu ukifanya hivyo si utajikuta una disable na mouse keyboard na mwishoe ukashindwa kuitumia Mashine yako? Mimi kuna option mmoja ambayo niliisoma hapo nyuma naona ndiyo nzuri saidi kuliko hii, hiyo inakupa option ya kudisable port moja moja ambayo unataka kuzi disable.
 
option ipi hiyoo?
 
nenda kwenye start,click run na andika regedit
baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR

kwenye usbstor badilisha value data.badala ya 3 andika 4.
kazi imeisha.usbport zote za copmuter zimekuwa disabled.

ukitaka kurudisha ili ziweze kusoma
nenda kwenye start,click run na andika regedit
baada ya hapo ingia kwenye HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR

kwenye usbstor rudisha value ile ile 4 badala ya tatu
hapo sasa all port za usb zitakuwa zinafanya kazi.

for english

gO TO --> START --> RUN

NOW TYPE REGEDIT

NOW LOOK FOR THE KEY :
HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Servic es\USBSTOR

NOW FIND THE KEY THERE CALLED :-
"Start"
DOUBLE CLICK ON IT.
NOW CHANGE THE VALUE DATA 3 --> 4
YOU HAVE DONE IT
NOW CLOSE THE REGISTRY AND YOU'LL SEE THE RESULT.
YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE DISABLED

TO RE-ENABLE/UNBLOCK USB PORTS JUST CHANGE THE VALUE DATA AGAIN 4 --> 3
NOW YOUR PC'S ALL USB PORTS ARE RE-ENABLED.

:confused2:
Duh! mkuu hii triki ina faida yoyote kweli? unadisable usb zote?????? Hakyamungu wadau msifanye hii kama hauna uhakika na unachokifanya, hasa kama hauna ps2 mouse or keyboard-walah unaweza usifanye kazi siku nzima!:becky::becky:
 
yeah this is specific for ps2 keyboard and mouse
 
Why would anyone want to disable USB ports?

Mara nyingi hili hufanyika katika corporate environment, hususan kwa sababu ya security. Kama kampuni haitaki wafanyakazi wake waweze kuchukua data kutoka kompyuta zao za kazini kwa kutumia USB, au kama kampuni inaogopa kwamba wafanyakazi wataleta virus na security threats nyingine kwa njia ya USB.

Kwenye kompyuta za nyumbani umuhimu wa hiki kitu unaweza kuwa mdogo.
 
Ni kweli hiyo ni njia iliyokuwa ikipendwa na IT admins kwenye corporate environment... a while ago kwenye ulimwengu wa data theft na protection ya janga hilo. Lakini kwa sasa njia hiyo si makini tena, policy na measures nyingine kwenye network (permissions) are more favorable. Kwani as long as mtu yuko kwenye physical terminal na mtu huyu akawa na access na data fulani ambayo iko downloadable to usb flash disk, then mtu huyo atakuwa na uhuru wa kuweza ku-disable au ku-enable ports simply by plugging in a ROMed usb drive yenye micro ya kuweza kufanya hivyo. Ukumbuke usb drive nowadays are not simply for flat storage of data but can contain and more often, run sophisticated stuffs to do just that. Nasema hivyo kwani, kwa mtu ambaye anataka kujiingiza kwenye corporate espionage, the likelihood ni kwamba mpaka anaamua kuiba hizo data tayari atakuwa amefahamu access level aliyonayo kwenye terminal zake. So the measure above to me would simply be some sort of trickery adventure in an office environment to p*ss off some unsuspecting colleagues and see how many calls they make to the IT desk!! 🙂
 
Mara nyingi hili hufanyika katika corporate environment, hususan kwa sababu ya security. Kama kampuni haitaki wafanyakazi wake waweze kuchukua data kutoka kompyuta zao za kazini kwa kutumia USB, au kama kampuni inaogopa kwamba wafanyakazi wataleta virus na security threats nyingine kwa njia ya USB.

Kwenye kompyuta za nyumbani umuhimu wa hiki kitu unaweza kuwa mdogo.

Your right kiranga

But kuna challenge zaidi sababu nowadays USB ports are not for storage accessories only Hata device kama Mouse , Keyboard na printer zinakuwa na USB
Na vifaa vingine kama mobile phones , digital camera, zinahitaji acess ya USB port.

Electronic Information security ni very challenging. maana kam mfanyakazi na acess na information anaweza kuzicopy na kuzituma kwenye email yake. Akaenda cafe kuzichuka kwa hiyo USB.

Na tatizo linakuw kubwa kulikabili kama threat inakuwa from within the corporate
 
najua kuna watu still wantumia ps2 mouse.so this would be usefull to some people.i just thought it is better to share knowledge,
i believe the more you share the more you gain
 
Why would anyone want to disable USB ports?
Computer zote zinazotumika maofisi yote ya ubalozi ziko disabled, hata CD rom hivyo zinaweza kupokea tuu data through mitandao yao safe, ili kuhakikisha hakuna kitu inatoka nje!.
 
Back
Top Bottom