Chanjo ya ugonjwa wa malaria imegundulika huko marekani na wanasayansi na tayari wameifanyia majaribio na kugundua inaweza kutumika kama chanjo ya malaria
Hahaa hii chanjo imegundulika huko kwa.wazungu wenzetu na bhado inafanyiwa uchunguzi wa kina kiukweli na ikija kuwa poa nitakuja hapahapa kuwapa habari mkuu