New video: Mzimbabwe Ft Diamond

New video: Mzimbabwe Ft Diamond

Hebu ona miziki ya huyu jamaa kabla hajafanya collabo na chibb, kwa kweli Dangote kamtoa sana huyu jamaa

like davido lile diamond.....kutoana kwenda level za kimataifa nayo ni thawabu!
 
duu asee,bonge moja la wimbo,wote wamekaza aisee,ila najiuliza hv huyu diamond hivi vimaneno anavyowekaga kwenye nyimbo zake huwa anavitoa wapi,yani hata akishirikishwa huwa anatupiamo mistari mitamu.sometimes najiuliza mistari mizuri anaweka had kwenye collabo kwenye nyimbo zake ataimba nini? lakini kila siku anavyo vipya yani hadi kwenye matangazo.huyu mtu kanishinda.
 
Baba Kijacho sio mjinga!
Zimbabwe ,Zambia,Botswana,Swaziland,Malawi, na wengine wanaofaanan nao!
KWIIIIIIIIIIIIIIIISHA HABARI YENU!
ahaahahhahahaha Ruttashobolwa huyu dogo mi hata staki tena kusifia!
ukiwa unaandika uwe unani Cc tu,ah mi ananichosha
 
Jamaa anajua bana Toka mda sana tu huku harare mbona tunaruka sana masong yake
 
Af uyo mzimbabweni anaonekana ni mtu mkubwa sana jeshini kwake
 
Back
Top Bottom