Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
like davido lile diamond.....kutoana kwenda level za kimataifa nayo ni thawabu!Hebu ona miziki ya huyu jamaa kabla hajafanya collabo na chibb, kwa kweli Dangote kamtoa sana huyu jamaa
diamond platnumz anajua sana yaan dah mpaka anakera
Anavaa tu. Sio mwanajesh wenzetu wanamruhusu sababu ni icon yaoAf uyo mzimbabweni anaonekana ni mtu mkubwa sana jeshini kwake