Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mbona nipo nyumbani!Rudi nyumbani Nyani Ngabu.
Nyumbani kumenoga!
🤣Jamaa yangu nyani nakukubali Sana mwamba sema Nini Kama Kuna uwezekano naomba unisaidie pesa kidogo bongo pagumu najua huwez kufeli fanya muamala Kaka serious asee Nina shida kidogo hata dollar tano au kumi
Msimamo gani nilioutetea? Niwekee nukuu ya maandishi unikumbushe….Mbona ulikuwa unatetea msimamo wa Meko sana kuhusu Covid.. what makes you change your mind
kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Kwahiyo na wewe bado unaenda pale Muhimbili bandani kujifukiza??Rudi nyumbani Nyani Ngabu.
Nyumbani kumenoga!
Kwa kweli sijui hiyo exp. date ni ya nini.kuuliza si ujinga. Hiyo chanjo ina expiry date baada ya kudungwa? ama hiyo expiry date ni ya dawa yenyewe hapo inayoonekana?
Hata sijui kwanini nimecheka. Yani nimejikuta tuRudi nyumbani Nyani Ngabu.
Nyumbani kumenoga!
Muree we umechanjwa au unapiga nyungu tu?Hata sijui kwanini nimecheka. Yani nimejikuta tu
Nasubiri unitumie hela nikachanjwe namieMuree we umechanjwa au unapiga nyungu tu?
Mkuu, kwani tangia lini mgonjwa akachanjwa? Chanjo siku zote ni kwa walio wazima ili wasije kuwa wagonjwa.Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.