#COVID19 New World Order: My COVID-19 Passport

#COVID19 New World Order: My COVID-19 Passport

Ungetumia akili kidogo ungeelewa ana maana gani kusema yeye sio mgonjwa.Kwa mgonjwa ana maana sio mgonjwa wa magonjwa kama diabetes, high blood pressure,maradhi ya moyo na kadhalika.Wagonjwa hawa wanapewa kipaumbele kwenye chanjo.
eti "ningetumia akili kidogo" asante sana kwa kunitukana mkuu
 
View attachment 1788516

Happy Monday!

Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.

Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.

Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.

Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.

Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!

Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.

Shime!
Nimesha chanjwa na subilia dozi ya pili nilipewa Kadi pia
 
Mkuu hachanjwi mtu hapa ,hatutaki tuwe mazezeta na kuwa sawa na wale simba walivishwa kola za chip kwa ajili ya kuwafuatilia popote pale walipo, nadhani tumekuwa wepesi sana kusaha haya mambo ya chanjo,kwenye miaka ya mwanzoni mwa chanjo kulikuwa na chanjo kwa wanawake,wengi wa waliochanjwa ni tasa hadi kesho, na kama kusafiri si lazima tusafiri Bongo ni peponi mkuu. Hata huu ushawishi wa hizi kamati tulijua matokeo yake ,mkitaka kuchanjwa endeleeni kuchanjwa tu,matokeo yake mtayaona. Yaani mtu na akili zako unafurahia cheti cha chanjo eti bure kabisa na ndio pasipoti ,hiyo ni pasipoti ya ama kutawaliwa na mabeberu au kuwa zezeta.
Haaahaaa we ni matako Sana bongo ni peponi ? Kwa kigezo kipi Huna ramani ya Safari ndio maana wajisheua
 
Kwa kweli sijui hiyo exp. date ni ya nini.

Nahisi itakuwa ni ya dawa, endapo labda utakuwa umemiss second dose na hivyo kulazimika kuanza upya kuchanjwa, kwa zile chanjo zenye sindano mbili.

Huo ni usadiki wangu tu…sina hakika.

Chanjo zina muda. Huku Ulaya miezi Tisa. Ndo mana ya date ya expire. Kama za mafua makali.
 
Mkuu Toka tumeanza kupokea chanjo toka tupate uhuru, kuna chanjo yoyote iliyokwisha tuletea matatizo?
Swali zuri sana, ni hivi mkuu: fatilia chanjo walizo kuwa wanawalazimisha wanafunzi wa kike na wanawake wa lika ya kuzaa wakijidai ni kinga ya kuzuia kansa ya kizazi,kumbe chanjo zenyewe zinongezewa vitu vya zaida vya kuwafanywa walengwa wasizae, sio kwamba hatungwi mimba, wakipata mimba zinatoka/aborted ndani ya wiki ya kwanza ya uja uzito - lengo likiwa ni kupunguza uzazi barani Africa na baadhi ya mataifa ya bara la Asia, siri hii ilikuja gundurika huko Ufilipino, Malysia na Singapore baada ya mataifa hayo kupewa tahadhali na wana sayansi wa Kimerikani wenye roho ya UTU.

Foundation ya Bill Gates na mkewe wanahusika sana katika mipango hii ovu ya kutaka kupunguza idadi ya watu Duniani specifically barani Africa na baadhi ya nchi za huko bara la Asia,ndio wanagharimia tafiti pamoja na uzalishaji wa chanjo hizo za cervical cancer na baadhi ya chanjo za covid-19 zitakazo letwa Barani Afrika zitaongezewa virutubisho vya kupunguza idadi ya watu kwa njia mbali mbali,mfano: kuvuruga kinga ya mwili ishindwe kustahimili/pigana na magonjwa yakawaida tu,hiyo haitokei ghafla inachukuwa muda ku-manifest itself hata watu wakianza kufa vifo vya ajabu miaka ya huko mbeleni hakuna ambaye atakumbuka kwamba vifo hivyo vinatokana na chanjo walizo chanjwa miaka ya nyuma.

Siyasemi haya kwa nia mbaya,ninacho kifanya hapa ni kurudia onyo lililo wahi kutolewa na wana sayansi wabobezi kwenye nyanja za masuala ya kinga za mwili dhidi ya maabukizi, hao ni watu wanao jali binadamu wenzao ndio maana wanatoa tahadhali mapema.

Tukitaka kubaki salama tununue chanjo za COVID-19 kutoka Uchina, Urusi na Cuba chanjo zilizo idhinishwa na W.H.O kwa matumizi ya binadamu,chanjo za Uchina kwa-mfano zinekwisha idhinishwa na W.H.O itakayo fuata kuidhinishwa na W.H.O ni Sputnik-V kutoka Urusi, Dunia inajuwa kwamba Mataifa tajwa hapo juu hayana agenda za siri kuhusu idadi ya watu barani Afrika na Asia.

Kujibu swali lako la msingi - tangu uhuru bara la Afrika lilikuwa halijaletewa chanjo zenye ajenda ya siri, kutokana kwamba miaka hiyo (1960s - 1990s) hakuna kundi lolote huko Ulaya na Merikani ambalo lilikuwa concern na idadi ya watu Barani Afrika na baadhi ya mataifa barani Asia. Ujinga huu wa kutaka kupunguza idadi ya Waafrka ulihibuliwa na kundi la wazungu wachache wenye uwezo mkubwa kifedha (mamillionea) huko Amerika akina Bill Gates,SOROS,Buffet,Rockfella,Rothschild family nk waliitisha kikao kuzungumzia ongezeko kubwa la wanadamu Duniani wakati mali asili haziongezeki, wakadai wengi wanao maliza mali asili hizo hawatoi mchango wowote katika ustawi wa binadamu wenzao hapa Duniani wanabaki kuwa tegemezi kwa mataifa yaliyo endelea - kazi ya mataifa masikini ni kuzaliana zaliana bila mpango na kumaliza natural resouces hapa Duniani giving nothing in return!! Wakakata shauri wote wakakubaliana kwamba wakitaka kumaliza tatizo la idadi ya watu kwenye nchini maskini notably bara la Afrika watalazimika kutumie mbinu za siri ili wapunguze kasi ya kuzaliana pamoja na kuongeza magonjwa kupitia chanjo zao - hizi si adithi za Alinacha - mipango hii inatekelezwa haswa kwa kificho lakini Dunia inajuwa mipango ya siri ya matajiri hayo na ukiwekea maanani Serikali yao ku-support NWO (New World Order) ndio utaelewa kwamba hawapo peke yao.
 
Haaahaaa we ni matako Sana bongo ni peponi ? Kwa kigezo kipi Huna ramani ya Safari ndio maana wajisheua
Kwanza kamwambie kwanza mama yako matako, cha pili kama kusafiri nimesafiri sana nje na kuishi pia nimeishi sana nje, kama huamini nipe location yoyote ya majiji kama New York ama Atlanta, ama Amsterdam nimiminike ndio ujue kuwa mimi ni zaidi ya unavyofikiri au unavyodhani.
 
We ni zezeta mpaka kufikia hapo ulipo niambie ujanja wako ni upi ulio nao ?
Ujanja wangu kwanza mimi sio limbukeni wa Ulaya na USA ,kwani nimeishi sana, kwangu Ulaya na states ni kama Chalinze tu, kwa hiyo ninachokisema nakijua, sibabaiki na hao wazungu kwani nawajua kama ninavyowajua waswahili kama nyie ambao muda si mmrefu mtakuwa mazezeta.
 
View attachment 1788516

Happy Monday!

Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.

Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.

Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.

Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.

Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!

Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.

Shime!
Walikuinamisha?

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Eti mswahili naye anabishana na suala la chanjo
Mamaye walete watuchanje. Tuna faida gani zaidi ya kuwa useless eaters na kuzaliana ovyo.
 
Mmmh! Umeiona wapi hiyo habari juu ya EU na UK? Siyo kweli! Unatakiwa upime uwe na negative results na kama unatokea kwenye nchi zilizoko kwenye Red list, inabidi ukae quarantine kwa siku kumi kwenye hoteli na uwe umelipia hiyo gharama ya £1750.
Hii ndio najua. Hiyo Vacc cert labda ukija Jf tu.
Piga nyungu pima Covid 19 nega sepa kama Uk uwe angalau na 10ml tsh za kujigarantee
 
Back
Top Bottom