Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Situmii ata magari yaliyotengenezwa na mzungu situmii.Mbona internet unatumia!
Au hutumii?
Ata ndege siwezi kununua zilizotengenezwa kwa wazungu.
Tusisome tu jamani...bali tusome na kuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Situmii ata magari yaliyotengenezwa na mzungu situmii.Mbona internet unatumia!
Au hutumii?
eti "ningetumia akili kidogo" asante sana kwa kunitukana mkuuUngetumia akili kidogo ungeelewa ana maana gani kusema yeye sio mgonjwa.Kwa mgonjwa ana maana sio mgonjwa wa magonjwa kama diabetes, high blood pressure,maradhi ya moyo na kadhalika.Wagonjwa hawa wanapewa kipaumbele kwenye chanjo.
Nimesha chanjwa na subilia dozi ya pili nilipewa Kadi piaView attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Mkuu nakuomba radhi it was a bad choice of words.Natumaini umenisamehe.eti "ningetumia akili kidogo" asante sana kwa kunitukana mkuu
Haaahaaa we ni matako Sana bongo ni peponi ? Kwa kigezo kipi Huna ramani ya Safari ndio maana wajisheuaMkuu hachanjwi mtu hapa ,hatutaki tuwe mazezeta na kuwa sawa na wale simba walivishwa kola za chip kwa ajili ya kuwafuatilia popote pale walipo, nadhani tumekuwa wepesi sana kusaha haya mambo ya chanjo,kwenye miaka ya mwanzoni mwa chanjo kulikuwa na chanjo kwa wanawake,wengi wa waliochanjwa ni tasa hadi kesho, na kama kusafiri si lazima tusafiri Bongo ni peponi mkuu. Hata huu ushawishi wa hizi kamati tulijua matokeo yake ,mkitaka kuchanjwa endeleeni kuchanjwa tu,matokeo yake mtayaona. Yaani mtu na akili zako unafurahia cheti cha chanjo eti bure kabisa na ndio pasipoti ,hiyo ni pasipoti ya ama kutawaliwa na mabeberu au kuwa zezeta.
We ni zezeta mpaka kufikia hapo ulipo niambie ujanja wako ni upi ulio nao ?Wala hajui ni ya nini na huku anahimiza watu wadungwe, wacha wadungwe wabaki mazezeta.
Uzuri hajataka kuwa kama Petro, hakani kabisa johnthebaptist YEHODAYA Crimea sweettablet Countrywide MTAZAMOWeweeee hakika ulikuwa na mwendazake!!
Kwa kweli sijui hiyo exp. date ni ya nini.
Nahisi itakuwa ni ya dawa, endapo labda utakuwa umemiss second dose na hivyo kulazimika kuanza upya kuchanjwa, kwa zile chanjo zenye sindano mbili.
Huo ni usadiki wangu tu…sina hakika.
Swali zuri sana, ni hivi mkuu: fatilia chanjo walizo kuwa wanawalazimisha wanafunzi wa kike na wanawake wa lika ya kuzaa wakijidai ni kinga ya kuzuia kansa ya kizazi,kumbe chanjo zenyewe zinongezewa vitu vya zaida vya kuwafanywa walengwa wasizae, sio kwamba hatungwi mimba, wakipata mimba zinatoka/aborted ndani ya wiki ya kwanza ya uja uzito - lengo likiwa ni kupunguza uzazi barani Africa na baadhi ya mataifa ya bara la Asia, siri hii ilikuja gundurika huko Ufilipino, Malysia na Singapore baada ya mataifa hayo kupewa tahadhali na wana sayansi wa Kimerikani wenye roho ya UTU.Mkuu Toka tumeanza kupokea chanjo toka tupate uhuru, kuna chanjo yoyote iliyokwisha tuletea matatizo?
Kwanza kamwambie kwanza mama yako matako, cha pili kama kusafiri nimesafiri sana nje na kuishi pia nimeishi sana nje, kama huamini nipe location yoyote ya majiji kama New York ama Atlanta, ama Amsterdam nimiminike ndio ujue kuwa mimi ni zaidi ya unavyofikiri au unavyodhani.Haaahaaa we ni matako Sana bongo ni peponi ? Kwa kigezo kipi Huna ramani ya Safari ndio maana wajisheua
Ujanja wangu kwanza mimi sio limbukeni wa Ulaya na USA ,kwani nimeishi sana, kwangu Ulaya na states ni kama Chalinze tu, kwa hiyo ninachokisema nakijua, sibabaiki na hao wazungu kwani nawajua kama ninavyowajua waswahili kama nyie ambao muda si mmrefu mtakuwa mazezeta.We ni zezeta mpaka kufikia hapo ulipo niambie ujanja wako ni upi ulio nao ?
😂😂muacheni baba wa watu apumzike jamani imetosha!CORONA ni futa - Jiwe 2020
Walikuinamisha?View attachment 1788516
Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma tu kidogo kwa siku kama mbili hivi.
Ukishadungwa, kwa pande hizi nilipo, wanakupa hako ka kadi kama uthibitisho wa kuchanjwa. Halafu ni bure kabisa!!
Chanjweni ili msije kupata usumbufu hapo baadaye.
Shime!
Kaolewe boya wewe!!Jamaa yangu nyani nakukubali Sana mwamba sema Nini Kama Kuna uwezekano naomba unisaidie pesa kidogo bongo pagumu najua huwez kufeli fanya muamala Kaka serious asee Nina shida kidogo hata dollar tano au kumi
Hii ndio najua. Hiyo Vacc cert labda ukija Jf tu.Mmmh! Umeiona wapi hiyo habari juu ya EU na UK? Siyo kweli! Unatakiwa upime uwe na negative results na kama unatokea kwenye nchi zilizoko kwenye Red list, inabidi ukae quarantine kwa siku kumi kwenye hoteli na uwe umelipia hiyo gharama ya £1750.