New World Order na mipango ya maendeleo ya dunia..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Hii iña maana ya kuiongoza dunia kama Serikari moja ña kuwa na rais mmoja tu dunia nzima.

Hukutanikia Roma Vatican,Kiongozi mmoja mmoja wa kidunia yaani marais hudhulu Roma ikiwemo marais wa Marekani punde tu wanapoapishwa na watu maarufu Wenye ushawishi kama wanamuziki wakubwa,lengo likiwa ni kupewa maneno yenye nguvu wanayopaswa kutumia wawàpo ktk mikusanyiko ya watu.

Inaamika ni mpango wa Mungu kwani Roma kuna vitabu vitakatifu vya dini ambavyo Vinaoesha majira nyakati hizi dunia iweje,sasa hii hutokea watu wengine huoteshwa ktk njozi na Mungu kama 2 pak Omar Shakur baada ya ufunuo Kumtokea akafanya kosa kubwa akayatungia Nyimbo hayo maneno wakati ni ya dunia ya siri,sawa sawa na Yusuph ktk maandiko alipofanya kosa LA kuwaambia ndugu zake juu ya ndoto,japo yeye alipona.

Mashirika ya kijàsusi kama CIA, M1-6,KGB,Mossad na kadhalika hujua mipango hii dunia inapoenda hivyo walimpa onyo 2 pac ila hakutii umauti ukamfika

Baadhi ya Mipango ya New World Oder kwa dunia..

Kupeleka watu kuishi ktk sayari nyingine,Mungu alisema Mkaijaze dunia wao wilikpewa jukumu la kutafutia mahali pa kuwapeleka watu

Kujenga makazi au miji ndani ya bahari au kusogeza bahari kama ilivyokwisha fanyika Uholanzi nà sasa japan

Kuunganisha dunia kidogo kidogo kwa kuwa na sarafu mojà

Utandawazi na ubinafshaji ili dunia kufaidi Matunda ya kila nchi kama dunia moja

Mwisho nchi zitakazopinga kukumbwa na vikwazo vya uçhumi zamani Ilikuwa vita ila kifo cha Gadafi na Sadham vilibadili
 

Attachments

  • FB_IMG_15348785261383759.jpg
    26.6 KB · Views: 92
Kwahyo kwa mtazamo wako ni jambo jema au baya
Huo ni mango wa Mungu kurudisha dunia kama enzi za Adam na Hawa kuanzia mazingira hadi kuishi na wanama ndio mana majumu mengine ya NWO ni kulinda mazingira,kuhamasisha ulaji wa mbogamboga,na kuibua madhara mbalimbali ktk nyama ili haki za wanyama zifanye kazi mfano Marekani ni mwiko Kunjia nyumbani mnyama,pia kupiga vita ulaji wa paka na mbwa huko China na Korea,hivyo in mpango poa tu
 
hamna mipango ya mungu hapo ni maswala tuu ya nchi za kibepari
ukisoma nwo vizuri kuna suala la depopulation through diseases, na majanga mengine mengi tuu. ndo maana nchi zinazojarib kupinga hii order lazima waisome no kutika kwa mmarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui chochote kuhusu NWO,,
nenda YouTube katafute habari za NWO kwa mtu mmoja anaitwa Hamza Issa au alijiita Nabii Iliyasa yy angalau alijaribu kuchambua kuhusu NWO kwa mifano na ushahidi wa maandiko,picha na historia za vitabu mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila ya shaka VATCAN si ya mchezo mchezo maana kila koba hapa duniani wanagusa au kugusishwa naanza kuwaogokuwaogopa sasa
 
NWO ni zama za mpinga Krtsto na utngulizi wa machungu ya nyakati za mwisho wa dunia, soma Ufunuo wa Yohana
 
Ww ni kondoo uliyepotea, rudi zizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…