Niliwahi kusoma siku za nyuma sana kuwa kuna kikundi cha watu (illuminat) walianza mipango ya kuanzisha era mpya duniani itakayobebwa na mpango unaojulikana kama New World Order (NWO).
Wao wakidai era hii maarufu kama christian era (AD) imefeli kwa kuwa imekuwa na changamoto nyingi zinazohusisha majanga mengi kama vita, njaa, maradhi, matetemeko, mafuriko na majanga mengi ya asili yaliyosababisha vifo vingi sana duniani.
Kwamba kwa sasa wanataka kuona dunia ina geuka na kuanza kuingia kwenye era mpya yenye mtazamo mpya utakaoleta amani na utulivu. Era hii itakuwa era ya Lucifer. Na awali walikusudia ingeanza mwaka 2000.
Walikusudia hata namba ya kuandika miaka ibadilike kutoka mfano 2000 AD kuwa na mfumo mpya utakoonesha kuwa hii ni era ya Lucifer.
Marais wa Marekani katika vipindi tofauti kuanzia George Bush hadi Joe Bidden wamewahi kudokeza kuhusu mpango huu mpya na kusisitiza ni muhimu dunia sasa iingie katika mpango huu.
Hata hivyo huu ni mpango hatari wa kukamilisha uasi wa dunia dhidi ya Mungu ambapo wakazi wa dunia watalazimishwa kumwabudu shetani wazi wazi.
Najua maandalizi kwa sasa yako kwa kiwango cha juu sana lakini Mungu amekuwa akitumia watu kuuchelewesha na kuukwamisha hadi pale habari njema ya ufalme itakapohubiriwa kwa kila mtu kama ushuhuda.
Baadhi ya wapinzani wa mpango huo ni Saadam Hussein, Muamar Gadaffi,Hugo Shaves na Puttin ambaye hadi sasa anapambana nao sana.
Hata hivyo kwa mujibu wa unabii wa neno la Mungu,hatimae watafanikiwa kusimamisha mpango huo kwani wadau wakubwa tayari wameshaunga mkono na wako kwenye maandalizi ya mwisho kusimika mfumo huo.
Mfumo huo utakuwa sawa na kusimamisha ibada ya sanamu ili wakazi wa dunia waisujudie.Watakaokataa watateswa na kuuwawa na watakaokubali wataona maisha wameyapatia.
Wataalamu tupeane taarifa mpya kuhusiana na suala hili tafadhali