bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Mbiiu la mgambo lishaliaa.
Tarumbeta la parapanda lishalia..
Je watanzania tupo kuingia chaka kwa mara nyingine tena? Hapa naongelea tuwe wapambe wa masuperpower wapi wale wa west au wale wa east?
Lakini kabla hatujachagua tukumbuke mkenge tulioingia Kwa kumfwata mrusi, aka msovieti kwa kipindi hicho na nadharia zake za ucomunist usio na practical application kwenye mazingira halisi.
Tujue kwamba mfumo ambao unatumiwa na masuperpower wa east unawatajirisha viongozi tuu, yaani viongozi ndio wanakuwa na HAKI ZA MSINGI ZA BINADAMU, ila raia mtapigaa kazi sanaa, kwa ujira mdogo, kwa mda mrefu. Soviet kipindi hicho watu walikuwa wanawekwa ndani kisa utoro.
Tuwe makini sana na viongozi wetu wasije fuata mkumbo kama manyumbu mengine ys Africa ( uganda na congo) alafu raia tukaishia kuumia. Watanzania kwa pamoja tulinde kiasi kidogo cha demokrasia kilichobakia kwa kutokukubali kujiunga pamoja na MITAIFA ambayo inaongwozwa na mtu mmoja mmoja miaka nenda rudi, hivi huo si upunguani, kwamba hamna watu wengine wenye karama ya kuongoza? Mataifa ya namna hiyo siku zote historia yaonyesha mwisho wake kuwa mbaya.
Ijulikane kabisa pasipo kufumba macho kwamba endapo tukafwata masuperpower wa mashariki basi UDIKTETA utakuwa umetia nanga.
Pia tusianze ooooh! Atushikamani na upande wowote! Yaani ina maana hatuna uwezo wa kuona mbivu na mbichi.
So nategemea jitihada za mapema kabisa zianze kufanyika kuunga jitihada za WEST katika kuleta usawa kwa watu wote watawala na watawaliwa.
Tujiunge na watu ambako tutakuwa na amani kwamba watoto wetu na watoto wa watoto wetu wataishi kwenye maisha mema.