New York, Marekani: Shule kufungwa kwa muhula mzima wa masomo kutokana na Corona Virus

New York, Marekani: Shule kufungwa kwa muhula mzima wa masomo kutokana na Corona Virus

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Meya wa Jiji la New York, Bill de Blasio ameangaza kuwa Shule zitafungwa kwa muhula mzima wa masomo kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Meya huyo amesema uamuzi huo ni mgumu lakini ni hatua inayopaswa kuchukuliwa ili kuokoa maisha ya watu

New York ina idadi kubwa zaidi ya waathirika wa COVID-19 nchini Marekani. Hadi kufikia jana, kulikuwa na maambukizi 94,409 na vifo 5,429.

======

1586624290812.jpeg

New York City schools will be closed for the rest of the academic year, Mayor Bill de Blasio said Saturday at a press briefing.

New York City schools will be closed for the rest of the academic year, Mayor Bill de Blasio said Saturday at a press briefing.

The decision was difficult and “painful,” de Blasio said.

"It’s the right thing to do,” he said. “It clearly will help us save lives.”

New York is the epicenter of the outbreak of the new coronavirus in the U.S. The state has more than 160,000 cases, and New York City has more than half of those infections. As of April 10, the city had 94,409 cases and 5,429 deaths.

Though there are signs that the outbreak is slowing, the city will remain in “widespread community transmission” well into May and possibly longer. Even if the spread slows, many social distancing elements must continue to prevent a resurgence of the virus, according to the mayor.

The plan to continue remote learning will include: making sure all students have Internet-enabled digital devices by the end of April; expanding a parent helpline and technical support, new online activities and programs; ensuring eligible seniors can graduate on time; and forming a plan to reopen in September and “combat learning loss.”
 
Wameleta virus kabadili yote tuliyopanga 2020 .2020 ndo imeisha hivyo.
Mhaaaaa!

Kwa ulichokiandika nimechagua kuwa mtazamaji kwanza kwa sababu huu mpira kwa sasa una chenga nyingi sana. Mara China mara Amerika! Mara vimetengenezwa maabara, mara si vya kutengeneza maabara.
 
Inajulikana imeanzia China,hayo mengine ni hayana mashiko.
 
Nakuomba uiangalie hii video.
View attachment 1416477
Kirusi karuka kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu.Hizo za kutengenezwa ni story tu. Mtu kutengeneza kirus huwa anaandaa na dawa au chanjo ili auze. Pia Virologists wanasema kirus angekuwa katengenezwa maabara lazima munipulation ingeonekana kwenye genetic codes zake. Wachina kula kwao kila kinachotembea matokeo yake wametuletea Chinese virus.
 
  1. Jmani POPO mm nimeishi nao nyumba moja huko Mara na Mwanza sijapata Hata Altezza Virus.
  2. Acha tupungue kidogo. Duniani tulizidi kuwa wengi.
  3. Mwamini Mungu iko Siku itabaki story
 
Kama nikweli nimpango wa mtu naomba wafanikiwe kwenye livapool kukosa epl tu huko kwengne watajijua wenyewe

Sent using My COVID-19
Mimi tayari nina ticket yangu Germany vs France pale Munich. Sasa nitashinda jiji la Makonda tu. Liverpool ndo washindi. Hata michezo ikisitishwa Anaeongoza ndo atachukua ubingwa.
 
Kirusi karuka kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu.Hizo za kutengenezwa ni story tu. Mtu kutengeneza kirus huwa anaandaa na dawa au chanjo ili auze. Pia Virologists wanasema kirus angekuwa katengenezwa maabara lazima munipulation ingeonekana kwenye genetic codes zake. Wachina kula kwao kila kinachotembea matokeo yake wametuletea Chinese virus.
Hapa kidogo nimekuelewa CHINA Kula kwao kila kisicholiwa kimeleta hii shida ila kusema kama ni maabara ndio nnapopingana na watu japokua virusi vinatengenezeka pia

Sent using My COVID-19
 
Mimi tayari nina ticket yangu Germany vs France pale Munich. Sasa nitashinda jiji la Makonda tu. Liverpool ndo washindi. Hata michezo ikisitishwa Anaeongoza ndo atachukua ubingwa.
Kuongoza sio kuchukua kwasheria zilizopo [emoji4]

ila huko kwengne pole asee [emoji3][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom