New York, Marekani: Shule kufungwa kwa muhula mzima wa masomo kutokana na Corona Virus

New York, Marekani: Shule kufungwa kwa muhula mzima wa masomo kutokana na Corona Virus

Hii story ya popo na korona hua naifananisha sana na story ya binaadam wa kwanza alikua nyani.
 
Hayo ndiyo maamuzi sahihi, hawa jamaa wametulia sana na hawakurupuki.

Nimeipenda iyo aya ya mwisho, kumbe hawa watu walikuwa hawajafunga vyuo licha yakuwepo kwa vifo 20,000 vya corona.

Serikali yao inasema itahakikisha eligible graduate wanahitimu kwa mda mhafaka, wanafunzi wataendelea kusomea nyumbani kwa njia ya mtandao, mazoezi kama kawaida.

Hakika katika hili maamuzi yenu yameshiba, na hamjakurupuka ktk hili.
 
Kabisa mkuu yani acha

Allah kariim

Wameonea sana binadamu ambao walikuwa na maisha yao tena kwenye nchi zao, wakawauwa bila huruma wala bila kuchagua kuanzia watoto mpaka wazee na hospitali na shule zote wakazipiga makombora

Watu wakaitwa terrorists na leo jina Hilo hilo limebadilishwa maana na kuwa atakaeambukiza wenzake Corona atafunguliwa kesi ya UGAIDI

Lampedusa walizamishwa maelfu ya wakimbizi ambao wao wazungu ndio walikuwa sababu ya watu kukimbia nchi zao, leo tunayaona yaliyotokea Italy wanalipwa walichopanda
Hakuna cha kombora wala risasi bali ni mdudu asieonekana anatutoa jasho leo na kujifungia ndani
Tumuombe sana Mungu na tufuate ushauri tunaopewa ila dunia imebadilika ghafla na mataifa makubwa yanaangamia kwa uonezi wao na ubabe
Kweli dunia haina mbabe hawakulijua hilo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kirusi karuka kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu.Hizo za kutengenezwa ni story tu. Mtu kutengeneza kirus huwa anaandaa na dawa au chanjo ili auze. Pia Virologists wanasema kirus angekuwa katengenezwa maabara lazima munipulation ingeonekana kwenye genetic codes zake. Wachina kula kwao kila kinachotembea matokeo yake wametuletea Chinese virus.
Hahaha hivi umewahi kuona Virus au hata bacteria wa KUTENGENEZWA MAABARA?!
 
Hapa kidogo nimekuelewa CHINA Kula kwao kila kisicholiwa kimeleta hii shida ila kusema kama ni maabara ndio nnapopingana na watu japokua virusi vinatengenezeka pia

Sent using My COVID-19
Nimeona jana BBC wameenda soko 1 huko malaysia wanauza kila mnyama yule muuzaji yuko anachemsha hio supu ya popo na anasema haamini kama hao popo anaokula kila siku ndio wana virusi hivyo.

Pembeni yake hapo kuna bonge la joka limekaushwa likachunwa ngozi afu jamaa analikata vipande vipande anauzia wateja.

Si mchezo.
 
Nimeona jana BBC wameenda soko 1 huko malaysia wanauza kila mnyama yule muuzaji yuko anachemsha hio supu ya popo na anasema haamini kama hao popo anaokula kila siku ndio wana virusi hivyo.

Pembeni yake hapo kuna bonge la joka limekaushwa likachunwa ngozi afu jamaa analikata vipande vipande anauzia wateja.

Si mchezo.
Pengne walikula popo alokua na kirusi maana popo hawakuanza kuliwa leo UCHINA Ila Pia Hata kua katengenezwa pia inawezekana ila siamini kama katengenezwa japo anawezekana kutengenezwa

Kuna watu wanakula kila wanachohisi kinaweza kulika aseee e

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom