NEW ZEALAND: Chama tawala chapata ushindi wa kishindo

NEW ZEALAND: Chama tawala chapata ushindi wa kishindo

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kutoka New Zealand chama cha Labour party kimepata ushindi wa kishindo ambao haujawahi kushuhudiwa toka 1995
 
Kutoka New Zealand chama cha Labour party kimepata ushindi wa kishindo ambao haujawahi kushuhudiwa toka 1995
Ibrahim Omer alikimbia ukandamizaji Eritrea 2003 na kuingia Sudan.Alikubaliwa kwenda kuishi New Zealand. Alifanya kazi ya kusafisha, akafaulu kuingia Chuo kikuu. Juzi amechaguliwa mbunge wa chama cha Labour katika jimbo la Wellington. "Omer ni Sauti ya wasiokuwa na Sauti."
IMG_20201019_113916.jpg

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom